sina mkuu.Hata Mimi natamani hiyo kitu lakini nachemka mkuu auna hata kascreen shoot ka video tukasoma muongozo?
Inafanyaje kaziNatumia app inaitwa Disa. Sio mbaya
Ukifanikiwa leta mrejesho.Asantee mkuuu,
Download disa kwenye play store. Itakuja na whatsapp unafata process..weka namba ambayo sio ile unayotumia kwenye whatsapp ya kawaida. Hakikisha pia namba unayoweka ipo on maana kuna code utatumiwa kwenye sms. Thats it!Inafanyaje kazi
Ok asanteDownload disa kwenye play store. Itakuja na whatsapp unafata process..weka namba ambayo sio ile unayotumia kwenye whatsapp ya kawaida. Hakikisha pia namba unayoweka ipo on maana kuna code utatumiwa kwenye sms. Thats it!
Mhuuu,,, simple ivoo?Download disa kwenye play store. Itakuja na whatsapp unafata process..weka namba ambayo sio ile unayotumia kwenye whatsapp ya kawaida. Hakikisha pia namba unayoweka ipo on maana kuna code utatumiwa kwenye sms. Thats it!
Yes.. jaribuMhuuu,,, simple ivoo?
Download kisha unzip.Mkuuu nashukuruu ,, ila nikusumbue tena,, nmedowload avast kusapoti file ikagoma ,,![]()
Uninstall whatsapp official kisha ndo uweke gb whatsappNimefikiaa hapa mkuu,, nafanyaje![]()
kweli mkuu Gbwhatsapp ipo safiDisa app naona iko vizur zaid, me ndo naitumia