ikhatibu
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 2,497
- 2,490
Tayari Mr.mkuu nitumie na mimi hapa. kmashaka4@gmail.com
Tayari Mr.mkuu nitumie na mimi hapa. kmashaka4@gmail.com
Mkuu...unavyotumia namba mbili inakuaje kwenye magroup yako ya whatsupp....haingii na namba hii mpya?Dah hii ndo raha ya jukwaa hili nipo nafanya yangu na gb whatsapp na whatsapp messenger
Gbwhatsapp unaidownload kupitia play store au wapi.msaada tafadhaliDisa nishawahi kui2mia cjaipenda coz kuna baadhi ya features nacpenda Gbwhatsapp
Unaweza nisaidia kutoa maelezo zaidi au kunipatia link ya kufanya hivyoKama simu yako ipo tooted unaweza itumia hiyo hiyo whatsapp moja ulionayo kwa kutumia namba hata zaidi ya tano simply by using titanium backup app then unacreate profiles then u can switch them one after another au unaweza create two user accounts kwenye simu yako kwamba u can log in as admin with a certain namba in whatsapp and u can log in as a guest with another whatsapp namba so anyathing is posible
nimedownloda Ogwhatsapp lakini inaniambia ni Ajust date kila ninalofanya naambiwa A just date.nisaidieDownload disa from play store
Then ndani ya disa utapata whatsP
OGwhatsapp bado hawajatoa update tokea mwaka Jana.nimedownloda Ogwhatsapp lakini inaniambia ni Ajust date kila ninalofanya naambiwa A just date.nisaidie
asante. disa nayo inanigomea. kila ninapoandika number inakataaOGwhatsapp bado hawajatia update tokea mwaka Jana.
Download GBwhatsappasante. disa nayo inanigomea. kila ninapoandika number inakataa
mkuu acha kupotosha mm natumia 2 whtsappOGwhatsapp na GBwhatsapp, zote mbili hazijafanyiwa update, na sasa zipo considered illegal, kwa hyo app iliyobaki ya kuwa na whatsapp mbili ni Disa, ambayo inapatkana playstore.
Gbwhatsapp ina update mbna m na2mia tangia ina version 4.10 mpaka now ina version 4.25OGwhatsapp na GBwhatsapp, zote mbili hazijafanyiwa update, na sasa zipo considered illegal, kwa hyo app iliyobaki ya kuwa na whatsapp mbili ni Disa, ambayo inapatkana playstore.
Nilijaribu kudownload ikazingua, ikaleta same msg kama OGwhatsapp kuwa ipo "obsolete". Itakua sikufuata procedures vizur lakn nw natumia Disa. Thanks for the feedback.Gbwhatsapp ina update mbna m na2mia tangia ina version 4.10 mpaka now ina version 4.25