Msaada: Nawezaje kuacha tabia ya kuongea peke yangu?

Mi nilivyo kuwaga shule ya msingi tulikuwa tunaambiwa eti na Mwalimu wa sayansi kila binadamu ana asilimia chache za ukichaa ndani yake, itakuwa we ndo asilimia zako hizo.
 
IMG_20210906_235829_698.JPG
 
Mi nilivyo kuwaga shule ya msingi tulikuwa tunaambiwa eti na Mwalimu wa sayansi kila binadamu ana asilimia chache za ukichaa ndani yake, itakuwa we ndo asilimia zako hizo.
Inawezekana pia ..
 
Nashangaa watu wameleta utani na hakuna seriousness katika hili. Mimi mwenyewe naongea peke yangu hasa ni kwa kuwa nakosa watu sahihi wa kuongea mada zangu. Unakuta sebuleni wako wanatazama mkurugenzi kaagiza vyoo vifungwe mimi naona ni habari za kipuuzi nazama chumbani kutazama Taliban wamefanyaje. Alafu sasa unakuta nasema mwenyewe "hawa Taliban si ndio juzi hapa walikuwa wanashangaa gym na babywalkers za umeme, sasa wamewezaje kuendesha helicopter si wataanguka hawa?"

alafu nafikiria then najijibu "itakuwa wameteka marubani wa jeshi la serikali iliyopita au jeshini kulikuwa na mamluki wa Taliban". Simply ni kwamba nikikaa na watu tunaelewana siongei mwenyewe
Hahahaha
 
Wala sikushangai, nipo hivyo pia mara nyingi tu huwa napiga stori mi mwenyewe na kujijibu mwenyewe na wala sioni kuwa nina tatizo la kiafya ya akili tena mimi huwa nakuja na majibu imara haswaa kwa maswali ambayo huwa nayatafutia majibu. Kuna watu wanaonizunguka huwa wakikwama kwenye majibu ya yanayowatatiza huwa wakinifuata ni dk 0 tu nimewapatia majibu wanasepa.

Kuna mdada mmoja kaja kunifanya mimi ni gud n close brother of hers, ananiheshimu mno na kunipenda sababu hiyo hiyo ya kumpa na kuresolve yanayomtatiza na wala hakuwahi kuniwazia hivyo. Ndugu, jiamini wewe huna tatizo la kiakili.
Mpe dudu
 
Labda mtu kaku - set , katika ulimwengu wa roho. Unavyozidi kuongea na huyo mtu anafanikiwa.
 
Back
Top Bottom