Msaada, Nawaombeni msaada software ya fuzzyTECH | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada, Nawaombeni msaada software ya fuzzyTECH

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by WA-UKENYENGE, Oct 23, 2011.

 1. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Software tajwa hapo juu naihitaji wakuu kwa ajili ya kukamilishia simulation za FLC (Fuzzy Logic Controller) design ili niendelee hatua ya mbele, nimejaribu kuchimbuka lakini utata bado mkubwa! mwenye nayo au kujua namna ya kuidownload pamoja na activation key zake nisaidieni.

  Natanguliza shukran wakuu!
   
 2. cerengeti

  cerengeti JF-Expert Member

  #2
  Oct 2, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 3,633
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  [h=2]inapatikana at wigo , 0655 308308, email: cerengeti@gmail.com[/h]
   
Loading...