james bendui
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 547
- 473
Wanajamvi mimi nikijana ninahisia zote na lijali kabisa tena nikiwa sita kwa sita naweza piga mpaka nyayoo 4 nakuendeleaa sasa tatizo nikipizzz naona msisimko na ilee halii ya urahaa umepungua hii kitu inaniumiza kichwa naomba ushauri wenu kwa ttz langu au nimmelogwa msaada jmn