MSAADA: Nauli ya Dar mpaka China ni bei gani?

MSAADA: Nauli ya Dar mpaka China ni bei gani?

Freightliner

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
720
Reaction score
530
Naombeni kuuliza kwa wajuzi na wasafiri ni gharama kiasi gani cha nauli toka hapa Tanzania mpaka China?

Shukrani::
 
Kakate passport gharama utazijua mbele ya safari
 
Samahani kidogo,ivi mfano ukiingia online kwenye mashirika ya ndege haya,huwez kupata ABC kuhusu nauli?
Unaweza kupata Abcd, ila unaweza ukapata shida kujua ipi ni cheap,
Wanaosafiri kila siku ni rahisi zaidi kukupa muongozo kuliko online websites., Kwa safari za africa Ethiopians airlines wapo cheap, sijui kwenda china ipoje
 
Google utapata bei, maana za ndege huwa zinabadilika badilika sio kama za bus
 
Kama upo mjini nenda kwa maagent wa safarii za ndege, upo nje ya mji ingia google. But angalau uwe na milioni 3 ndipo anza kupanga safarii. Kama ni kwa ishu za kibiashara angalau uwe na milioni 10 hapa utapata nauli, malazi, na mtaji.
 
Back
Top Bottom