Msaada natumia huawei y530 inatatizo upande wa data conection

Msaada natumia huawei y530 inatatizo upande wa data conection

Shmaider

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2015
Posts
406
Reaction score
120
Jamani hili tatizo linaninyima amani upande wa minala inasimama bila kutingishika lakini nikifungua Data haitulii inapanda nakupotea shida ninini na ufumbuzi wake niupi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duuh simu za siku nyingi shida itakua imeshapitwa na wakati nunua nyingine tu
 
Back
Top Bottom