Msaada nateketea. Mba wananisumbua baada ya kunyoa.

Ahsante. Je, ikitokea umenyoa ndevu, ili kuepuka mba kidevuni na juu ya midomo, ni mafuta gani unakuwa unapaka?
Tafuta mafuta haya nenda pharmacy waelekeze km nilivyokuelekeza au kesho nikipita pharmacy nitakupigia picha hayo mafuta nikuwekee humu uyaone👇
 
Hata mm zilinisumbua saana mba, nilitumia dawa nyingi mnoo zote mlizotaja hapo juu, sonaderm,medicated sops nk.

Nilikuja kupata suluhisho la kudumu.,.. Ni mafuta ya nywele ya Movit hair tu....yapo madogo kuanzia 500 na kuendelea....

Nilishasahau habari ya mba za kichwani wakuu mwaka wa 5 huu....

Nb...yafanye kuwa mafuta Yako ya kila siku.
 
Ni mafuta ya nywele ya Movit hair tu....
Ubaya wa MBA kuna mafuta wewe ukipaka unapona Ila mwenzio akipaka ni km anawazidisha, Mimi hio Movit ilidunda nikaja kutumia dawa mbili ndio nikapona moja ni ya Tube nimesahau Jina na mengine ndio hayo ya South Africa ni ya kijani na hayo ndio yaliponesha nilikua napaka yote kwa pamoja nikipaka ya Tube napaka na hayo ya kijani ya mgando hivi na hio ndio pona yangu, nilipomaliza na MBA kwaheri nikapona moja kwa moja hadi leo siwajui MBA ni nini
 
 
Hayo mafuta unapaka kwenye nywele au? Baada ya kuoga?
 
Oooh kumbe unatakiwa kuyatumia kama mafuta yako ya kudumu ya nywele, hata baada ya kumaliza dozi?
 
Hapo ni mafuta ya after shave.

Na ukitaka kunyowa nywele za uko chini tumia lemon air removal au veet, zinafanyakazi kazi kama magic ya ndevu.

Achana na machine zimeshapitwa na wakati.
Sawa sawa mzee wangu.
 
Hapo ni mafuta ya after shave.

Na ukitaka kunyowa nywele za uko chini tumia lemon air removal au veet, zinafanyakazi kazi kama magic ya ndevu.

Achana na machine zimeshapitwa na wakati.
Hayana effect(bad) in a long run?
 
nunua mafuta yanaitwa Radiant hayo ni kiboko ya mba, mengine yanatwa Sulphur 8, ila hayo sikushauri japo yanaondoa mba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…