Msaada: Nataraji kupokea wageni, wapi nitapata hosteli jijini Dar es Salaam?

Msaada: Nataraji kupokea wageni, wapi nitapata hosteli jijini Dar es Salaam?

Wakuu habari za leo,

Natarajia kupokea wageni kutoka Malawi kama wanne hivi na wana budget ya chini sana.

Sasa na watakaa mwezi mmoja hapa sasa naomba kufahamishwa sehemu ambayo nitapata hostel kwa ajili yao.
Find Air b n b
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nimekumbuka yule baba alipataga wageni wengi akaendae kuwalaza hospital ya kata wodini kesho yake waliaga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizo hotel pamoja na YMCA na WMCA zinafanyiwa booking na wazungu miezi kabla ya trip zao kuja Africa si rahisi kupata kwa rush hour.

Labda YMCA ya Moshi ndio unaweza kupata chumba same day.
Umeshawahi kumtafutia mtu au ni story. Ulizosikia kwa watu.
 
Wakuu habari za leo,

Natarajia kupokea wageni kutoka Malawi kama wanne hivi na wana budget ya chini sana.

Sasa na watakaa mwezi mmoja hapa sasa naomba kufahamishwa sehemu ambayo nitapata hostel kwa ajili yao.
Kuna jamaa aliniambia hapo Dar kuna watu wana nyumba zao self unakodi na kujipikia mwenyewe, ina kila kitu ndani..
 
Kuna jamaa aliniambia hapo Dar kuna watu wana nyumba zao self unakodi na kujipikia mwenyewe, ina kila kitu ndani..
Kwa hesabu walizonipa nimewatafutia nyumba tu huko goba na nimewalipia miezi 3 ingawa wao watakaa 1 month tu.
Ila gharama ni reasonable sana.
 
Sasa hao ni wageni au mizigo tu?wageni gani hawana hela hata ya kulala sehemu nzuri?
 
Back
Top Bottom