Mabibo Hostel. Omba wanafunzi walale nao kwenye DABO DEKAWakuu habari za leo natarajia kupokea wageni kutoka Malawi kama 4 hivi na wana budget ya chini sana sasa na watakaa mwezi mmoja hapa sasa naomba kufahamishwa sehemu ambayo nitapata hostel kwa ajili yao.
🤣🤣🤣🤣😂😂😂 nimekumbuka yule baba alipataga wageni wengi akaendae kuwalaza hospital ya kata wodini kesho yake waliaga
Eneo labda la shughuli zao wapi ili kupunguza gharama za usafiri ili kuona hostel ipi iko karibu na bajeti yao kwani shilingi ngapi? Bila kujua bajeti yao inakuwa ngumu kushauri vizuriWakuu habari za leo,
Natarajia kupokea wageni kutoka Malawi kama wanne hivi na wana budget ya chini sana.
Sasa na watakaa mwezi mmoja hapa sasa naomba kufahamishwa sehemu ambayo nitapata hostel kwa ajili yao.
Vyuo vingi vimeanza kufugwa,watadondoka wenyewe kwenye hizo dekaMabibo Hostel. Omba wanafunzi walale nao kwenye DABO DEKA
Humu humu jamaa mmoja alielezea kesho yake waliaga wote walikuwa wengi🤣🤣🤣🤣
Uzi wa Ushimen huoHumu humu jamaa mmoja alielezea kesho yake waliaga wote walikuwa wengi
Heeeh...!Mabibo Hostel. Omba wanafunzi walale nao kwenye DABO DEKA
Miongoni mwa waliolala huko ni wewe😂😂😂 nimekumbuka yule baba alipataga wageni wengi akaendae kuwalaza hospital ya kata wodini kesho yake waliaga
Aahhaa zamani hiyo mi sikuwepoMiongoni mwa waliolala huko ni wewe
Good morning mwali...🙋♂️Aahhaa zamani hiyo mi sikuwepo