Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,232
- 113,610
Nenda balozi ya ncu yoyote ya EU kajiripue.
Waambie wewe shoga na unamuogopa makonda. Usitoke huko ubalozini mpaka wakusafirishe.
Ushauri murua kabisa huu!!
Nenda balozi ya ncu yoyote ya EU kajiripue.
Waambie wewe shoga na unamuogopa makonda. Usitoke huko ubalozini mpaka wakusafirishe.
Unaondokaje sasa ebu kaa kwanza tuunge pamoja juhudi za mkulu akishamaliza awamu yake ndio uende ulaya mkuu
Hizo kazi huko zinalipa kuliko Waziri anavyolipwa Tanzania.Huu ndio ukweli ulaya kila kitu kimeshafanywa hakuna kipya utakachofanya ulaya, wamefikia kikomo. Kama ni miji ishajengwa zamani. Miundombinu washamaliza kujenga. Unaenda kufanya nini? Africa is the new Market place.
Ulaya Kazi ya uhakika ni kuwa Bartender (barmaid), Waiter, watchmen, ambapo huwezi kusave chochote. Hautakuwa na tofauti na walio bongo na si ajabu ukaogopa hata kurudi home coz utakuta wenzio wamekupiga gap na wewe wa ulaya umebakiza mapafyumu tu ya ulaya.
Jidanganye.. Wazungu wanafanya research sana kuimprove vyao.. Sasa kama kila kitu kimafanywa Airbus imejengwa china au.. Acheni kuchukulia poa ulaya tena unaonekana hata Kenya hujafika au dar tuu hujakanyagaHuu ndio ukweli ulaya kila kitu kimeshafanywa hakuna kipya utakachofanya ulaya, wamefikia kikomo. Kama ni miji ishajengwa zamani. Miundombinu washamaliza kujenga. Unaenda kufanya nini? Africa is the new Market place.
Ulaya Kazi ya uhakika ni kuwa Bartender (barmaid), Waiter, watchmen, ambapo huwezi kusave chochote. Hautakuwa na tofauti na walio bongo na si ajabu ukaogopa hata kurudi home coz utakuta wenzio wamekupiga gap na wewe wa ulaya umebakiza mapafyumu tu ya ulaya.
Mkubwa ulaya ilikuwa zamani, siku hizi kumechacha. Waarabu wa Syria, Yemen, Libya, Iraq, Afghanistan, Nigeria, Ethiopia, Eritrea wamejaa na kwa muda huu wengi wanatafuta hata nauli ya kurudi tu makwao hawaipati. Hela na maisha yamekuwa magumu sana ulaya.
Ukitaka nchi ya kutafuta hela nenda Australia, Canada, New Zealand ambapo kupata visa zao nao ni kimbembe kingine kama mtu wa ulaya hapati visa za hizi nchi kirahisi vipi wewe Mmtamumbi mjukuu wa Chifu mangungo wa msovero? Ni rahisi kugombea ubunge na kuupata kuliko kupata resident permit ya Australia.
Niko apa Ngabu msaidie kijana uko aje USA babyInsta toto...
hapo ni kwenda Uganda aisee, ule mtaji wa kuendea Ulaya ndo uutumie kama mtaji wa biashara. Kwenda Uganda manake una mtaji, ila tz na Uganda connections tu. Kwa hali ya sasa hivi tz na Uganda ni tight, kwasababu utahitaji kufuata utaratibu na ni mgumu kweli.Shukrani mkuu unamaanisha kwenda kuishi uganda na kufanya biashara au kufanya biashara kat ya UG vs TZ
Huyo sio sister ni kibibi kizee cha ccm na kenyewe kinasoma namba wala usiache kumuheshimu mkuuSister mimi hua nakuheshimu sana..kuanzia jana naona huo ndo ushauri unaotoa sjajua una maana gani..Nakuheshimu sana japo sikujui
Yaani mimi nifuatane naye? nakuheshimu sana mama! tumia busara yako kama zamani.
Hapa siongelei uwe shoga wala sina nia hiyo kwako au kwa mwengine yoyote. Nimeona kwa sasa hiyo ni njia rahisi sana kuliko walizopitia wengi wengine.Sister mimi hua nakuheshimu sana..kuanzia jana naona huo ndo ushauri unaotoa sjajua una maana gani..Nakuheshimu sana japo sikujui
Wakuu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nahitaj mwenye kujua njia na namna ambayo naweza kuitumia kwenda kutafuta maisha nchi yeyote iliyopo bara la ulaya. Njia ambayo kwa Mtanzania ni rahisi kwenda na kufanya mishe mishe maisha yaende. Mwenye uelewa naomba anisaidie kufahamu nchi ya kwenda na gharama za kuandaa mpaka kufika huko.
Shukran.
We bibi una wazimu, unaangalia income tu huangalii kabisa expenditure za majuu zikoje? Kwanza minimum wage ni dola 7 kwa saa in most countries.bado hujala, hujalala, hujavaa, hujapata demu, hujalipa makodi chungu mzima.Hizo kazi huko zinalipa kuliko Waziri anavyolipwa Tanzania.
Hizo handbags zimenivuruga
Hizo handbags zimenivuruga
Vipi mkuu kama sisi wenye fani za umeme hivi?Zinatakiwa fani maalum (skills) katika nyanja mbalimbali.
Hivyo fanya utafiti kwenye nchi za Uingereza, Canada, na Australia uje kufahamu ni skills gani wanahitaji.
Kwani wewe umesomea fani gani?
Usiwaze tu kwenda Ughaibuni bila kuwaza kwanza kama unazo sifa za kwenda huko.
Kumbuka, kuzamia kulikuwa zamani na sio sasa.
Sanasana utaishia kufanya kazi za kipato cha chini na utaishia kulipa pango na kujikimu.
Vipi mkuu kama sisi wenye fani za umeme hivi?
Kusafisha mashamba au kuendesha yale train truckSkills zinazohitajika Australia
1. Ufundi wa kulaza vigae majumbani na kwenya majengo kwa ustadi wa hali ya juu na wa kusomea.
2. Ufundi umeme wa kiwango cha juu yaani electrical engineer huku ukitumia computer kufanya michoro na kuifuata.
3. Uuguzi wa kuangalia watu wenye matatizo ya akili, yaani mental health.
4. Uuguzi wa kawaida
5. Radiographer