ngosha2011
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 681
- 87
Western Union
sasa kama anataka via bank unaomba ushauri wa nini?
sasa kama anataka via bank unaomba ushauri wa nini?
Mtumie SWIFT CODE ya bank yako husika
Mkuu kuwa makini,kama unatafuta msaada wa kutumiwa pesa kupitia Western Union sawa,ila kama ni kutumiwa pesa kutoka West Africa kuwa makini,ni angalizo tu.
Mkuu kuwa makini,kama unatafuta msaada wa kutumiwa pesa kupitia Western Union sawa,ila kama ni kutumiwa pesa kutoka West Africa kuwa makini,ni angalizo tu.
Kwanza anayekutumia ni nani.
Bora ume mjuza. Isije kuwa story za watu wapo ktk kambi za wakimbizi.Kwanza anayekutumia ni nani.
Utaibiwa, ikiwa sio ndugu yako anataka particulars zako tu afanye mambo
Unatapeliwa. Weka tu wazi namna mlivyoanza hadi akakuomba email yako
Mie nimeshamuelewa. Hapo kakumbana na wale matapeli wanaosema wako ukimbizini kwenye kambi za wakimbizi ila waliondoka na pesaMkuu kuwa makini,kama unatafuta msaada wa kutumiwa pesa kupitia Western Union sawa,ila kama ni kutumiwa pesa kutoka West Africa kuwa makini,ni angalizo tu.
Unatapeliwa. Weka tu wazi namna mlivyoanza hadi akakuomba email yako
Sent using Jamii Forums mobile app
ni kweli mkuu maana wapopo hawacheleweshi kumla mtu kichwa,kumbuka 419mleta mada katokomea kusikojulikana baada ya watu kuanza kumpa angalizo