Msaada nataka kutumiwa pesa toka Afrika Magharibi

Mmemuuliza kama mtumiwa kwenye hiyo account yake kuna pesa? Mnaweza kukuta mnasema ataliwa kumbe account inasoma frequency..
 
Mie nishahisi hawa ni wale wa nipo kambini, mara nna kansa.....na sio ndugu yake wala nini! Ingekuwa ndugu yake ingekuwa rahisi kwake.
 
Mkuu kuwa makini,kama unatafuta msaada wa kutumiwa pesa kupitia Western Union sawa,ila kama ni kutumiwa pesa kutoka West Africa kuwa makini,ni angalizo tu.
yaani huyu anatapeliwa mchana kweupe.huo utapeli mbona wa kizamani sana .Mleta mada mshamba wacha wamlize mjinga mkubwa
 
Back
Top Bottom