Msaada nataka kutumiwa pesa toka Afrika Magharibi

Msaada nataka kutumiwa pesa toka Afrika Magharibi

Tumia Wire Transfer.

Nenda hapo NMB kawaambie wakupe Swift Code*

Then anayekutumia ataitumia kukuhamishia pesa
 
Mkuu kuwa makini,kama unatafuta msaada wa kutumiwa pesa kupitia Western Union sawa,ila kama ni kutumiwa pesa kutoka West Africa kuwa makini,ni angalizo tu.
Mie nimeshamuelewa. Hapo kakumbana na wale matapeli wanaosema wako ukimbizini kwenye kambi za wakimbizi ila waliondoka na pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom