Kama tayar umesha fanya cabling una asign ip adres na subnetmask na dns nk kwa kila computer ila kwenye ip adress kila pc unabadilisha namba ya mwisho mfno 198.020.255.02 na yapili itakuwa 198.020.2555.02na kuendelea had pc zote 24 then una ping all kucheki kama zimeonekana kwenye saver
Sorry nimeeleza kwa kifup fupi vingine utajuongeza unapo endelea
Kama unatumia windows, turn on network discovery kompyuta zote.Swali la nyongeza;
Tayari nilishaunganishiwa LAN ofisini na computer zinatumia system flan, nafanyaje kuzifanya ziwasiliane. Namaanisha niweze kuview contents za computer moja nikiwa kwenye computer nyingine, ama kama hilo ni gumu basi angalau kuconnect printer nitakayoweza kuitumia kutoka computer yeyote iliyopo kwenye mfumo.
Kama tayar umesha fanya cabling yaan kama tayar umesha bana cable na umesha zichomeka kwenye pc na hub yako au switch then kuna namna mbili kuna ya ku asign ip adress manul na auto kwa maana ya kwamba wewe una asign workgrup name then una share kwenye pc zingine workgroup hyo huku kwenye ip request unaweka kwenye auto ip DHCP lakini pc names unazipa majina tofauti kuanzia pc1 hadi 24 ila work group name inakuwa moja kwa pc zote dah ila maelezo marefu kidogo
Au una asign ip adres na subnetmask na dns nk kwa kila computer ila kwenye ip adress kila pc unabadilisha namba ya mwisho mfno 198.020.255.02 na yapili itakuwa 198.020.2555.02na kuendelea had pc zote 24 then una ping all kucheki kama zimeonekana kwenye saver

We kijana acha uvivu. IT haihitaji uvivu wa kiwango hiki. Hapa hutoweza kuelewa. Kuna resources nyingi sana mtandaoni tena hadi kwa njia za video. Hebu zama youtube upate majibu ya maswali yako kwa vitendo.
Ulishawahi kupitia hata kozi fupi ya Networking?,hebu tuanzie hapa kwanza?Nina switch, router, UTP cable, na vifaa vyote nahitaji computer ziweze kuwasiliana aidha kushare data nk. Nini natakiwa nifanye ili computer zote ziwe katika work group moja?
Ni computer 24.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingia youtube mkuu!!
Kama hakuna saver hapo basi waweza kuifanya pc moja wapo kiwa saver na hiyo ndio utaitunia ku ping zingine na hiyo ndio unaifanya iwe source of shared data kwa pc zingine ina ipa jina tu tofauti nz zingine hata ukipenda waweza iita saver