Naomba kufahamu kuhusu Suzuki Swift ya Mwaka 2004

infomania

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2014
Posts
242
Reaction score
159
Wakuu habari naomba ushauri ninafikiria kununua gari. Hili litakuwa ni gari langu la kwanza kumiliki katika pitapita yangu nimelipenda suzuki swift la 2004.Kwa ambao washawahi kumiliki gari hili au model ya miaka ya nyuma ilimradi ni swift naomba wanishauri juu ya yafuatayo;

Upatikanaji wa spea na mafundi incase limeharibika.
Uimara wake kwani mara nyingine nitakuwa na safari za nje ya Dar.
Ushauri mwingine pia naukaribisha.

02.jpg
 
Mkuu mimi sie fundi,wala similiki gari hii,ila niliwahi kuazimwa tu kama wiki.
Mkuu hii gari ya maana sana.

Angalizo:

Mie Gari ya mwanzo kununua kaka ilikuwa Noah, nilikuwa nalala humohmo mchana mzima, yaani kama nimelala basi nikisikia gari inapita nje basi najua gari yangu imejiwasha yenyewe na inataka kuondoka yenyewe,aisee sie wengine tumekulia kwenye maisha ya umaskini basi tabu kweli.

Kali zaidi, hadi ofisi nilihamishia humohumo, ilichukua kama wiki tatu hivi za hali hii, maana kila nikiiona lami naona kama ikiingia njiani itagongwa, na nilipoendesha basi nilikuwa nikisimama kwenye foleni basi lazima nihakikishe aliekaa nyuma yangu yupo umbali gani.

Nilikuwa naifuta fumbi kila saa, na baadhi ya mida nilikuwa naongeanayo, yaani kama vile nipo na mtu kumbe gari, Maana mie na Shemeji yako wote tumetoka kwenye maisha ya kimaskini, basi ugonjwa ulikuwa upo tofauti.

Yeye ndio alikuwa anakaa hasa pale mbele anaingalia kama mtu vile,akikalia kiti cha gari basi akiinuka lazima akibonyeze kije juu kama vile kochi la ndani ya nyumba. Na ni kimpindi ambacho usingizi wa usiku uliuwa nadra sana kuja ni wakati huo,muda wote namuomba mungu ili ile gari ingewezekana ingekuwa ina lala ndani. Kwenye Baby Cot.

Aisee kazi kweli,siku moja moja huwa tunakumbushana ule ushamba wetu,basi kila mtu hana mbavu.
 
Mie Gari ya mwanzo kununua kaka ilikuwa Noah,nilikuwa nalala humohmo mchana mzima,yaani kama nimelala basi nikisikia gari inapita nje basi najua gari yangu imejiwasha yenyewe na inataka kuondoka yenyewe,aisee sie wengine tumekulia kwenye maisha ya umaskini basi tabu kweli.
Kali zaidi,hadi ofisi nilihamishia humohumo,ilichukua kama wiki tatu hivi za hali hii,maana kila nikiiona lami naona kama ikiingia njiani itagongwa,na nilipoendesha basi nilikuwa nikisimama kwenye foleni basi lazima nihakikishe aliekaa nyuma yangu yupo umbali gani.
Nilikuwa naifuta fumbi kila saa,na baadhi ya mida nilikuwa naongeanayo,yaani kama vile nipo na mtu kumbe gari.
Maana mie na Shemeji yako wote tumetoka kwenye maisha ya kimaskini,basi ugonjwa ulikuwa upo tofauti.
Yeye ndio alikuwa anakaa hasa pale mbele anaingalia kama mtu vile,akikalia kiti cha gari basi akiinuka lazima akibonyeze kije juu kama vile kochi la ndani ya nyumba.
Na ni kimpindi ambacho usingizi wa usiku uliuwa nadra sana kuja ni wakati huo,muda wote namuomba mungu ili ile gari ingewezekana ingekuwa ina lala ndani.Kwenye Baby Cot.

Aisee kazi kweli,siku moja moja huwa tunakumbushana ule ushamba wetu,basi kila mtu hana mbavu.

Umenichekesha sana mkuu, umenikumbusha siku niliponunua gari siku hiyo nilikula misele yani kila sehemu nikikutana na mtu namfahamu akaniambia anaenda sehemu ninamwambia panda nikupeleke ili mradi nipate safari.
Nilitaka kufa kwa presha baada ya week mbili kuna mtu akanibamiza ikabonyea iliniuma sana aisee.
 
ahahha du kazi ipo hapa naona mauzoefu ya magari
 
Umenichekesha sana mkuu, umenikumbusha siku niliponunua gari siku hiyo nilikula misele yani kila sehemu nikikutana na mtu namfahamu akaniambia anaenda sehemu ninamwambia panda nikupeleke ili mradi nipate safari.
Nilitaka kufa kwa presha baada ya week mbili kuna mtu akanibamiza ikabonyea iliniuma sana aisee.
Hahahaha,yaani ndugu yangu kumiliki gari mara ya mwanzo ni Ugonjwa,na mbaya zaidi unakuwa hujijui ila wenzio ndio wanakuoa kwamba unashoboka.
Umenichekesha kwa kutoa malifti,aisee yako ilikuwa kali,na ambae hakusifii gari yako nzuri kesho humpi lifti
 
Informania subiri watakuja wazoefu wa hizo gari.
Mie kwangi ni nzuri,ila usipitishe muda wa Services ni sheedahh,havivumilii kupitishwa muda wake.
Spare kwa sasa zipo,mwanzo wakai zinaingia ndio ilikuwa issue
ila kitaalam zaidi sijui
 
Ha ha haaa...umenikumbusha rafiki yangu mzee wake kapata kiinua mgongo wakanunua gari basi balaa limeamia mtaani...mafuta ya laki halafu hakuna safari patam hapo tunaishia kupelekwa town kutembezwa tuu...sasa hivi mafuta ya buku 5 yanatafutwa hataree sana hivi vyombo!!!
 
mkuu hao wengi sana..kuna mzee wangu baada ya kustaafu alikuwa anamiliki gari mbili saiz kauza zote..anatembelea baiskeli!!
 
Mkuu mimi sie fundi,wala similiki gari hii,ila niliwahi kuazimwa tu kama wiki.
Mkuu hii gari ya maana sana.

Angalizo:

Mie Gari ya mwanzo kununua kaka ilikuwa Noah, nilikuwa nalala humohmo mchana mzima, yaani kama nimelala basi nikisikia gari inapita nje basi najua gari yangu imejiwasha yenyewe na inataka kuondoka yenyewe,aisee sie wengine tumekulia kwenye maisha ya umaskini basi tabu kweli.

Kali zaidi, hadi ofisi nilihamishia humohumo, ilichukua kama wiki tatu hivi za hali hii, maana kila nikiiona lami naona kama ikiingia njiani itagongwa, na nilipoendesha basi nilikuwa nikisimama kwenye foleni basi lazima nihakikishe aliekaa nyuma yangu yupo umbali gani.

Nilikuwa naifuta fumbi kila saa, na baadhi ya mida nilikuwa naongeanayo, yaani kama vile nipo na mtu kumbe gari, Maana mie na Shemeji yako wote tumetoka kwenye maisha ya kimaskini, basi ugonjwa ulikuwa upo tofauti.

Yeye ndio alikuwa anakaa hasa pale mbele anaingalia kama mtu vile,akikalia kiti cha gari basi akiinuka lazima akibonyeze kije juu kama vile kochi la ndani ya nyumba. Na ni kimpindi ambacho usingizi wa usiku uliuwa nadra sana kuja ni wakati huo,muda wote namuomba mungu ili ile gari ingewezekana ingekuwa ina lala ndani. Kwenye Baby Cot.

Aisee kazi kweli,siku moja moja huwa tunakumbushana ule ushamba wetu,basi kila mtu hana mbavu.

You made my day mkuu, nimecheka kinoma. Hahaha
 
Uuuwiiiiii
 
Back
Top Bottom