chagga land
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 394
- 95
- Thread starter
- #21
Google ..utapata basic info za unachohitaji
asante sana mkuu
Google ..utapata basic info za unachohitaji
ubarikiwe mkuu kwa msaada wako,lakini samahani naweza mpataje huyo mzee?
Kwenye Biblia Kuna Mstari Unasomeka "kipimo Utakachojipimia Ndicho Mungu Atakachokupimia."
Kiukweli Mimi Sina Gari Wala Baiskeli, Ila Kwa Sababu Ninajipimia Kuja Kumiliki Helcoper, naomba Msaada Wenu Wa Soko Zinapouzwa, gharama Zake In terms Of Dollars Na Aina Ipi Ni Bora.
Karibuni Kwa Maelekezo
hapana mkuu ni kwa usafiri tu mkuu

asante mkuu,mbowe naweza mpata pale ufipa ila unaweza nisaidia contact za msukuma