chagga land
JF-Expert Member
- Jul 24, 2015
- 394
- 95
Kwenye Biblia Kuna Mstari Unasomeka "kipimo Utakachojipimia Ndicho Mungu Atakachokupimia."
Kiukweli Mimi Sina Gari Wala Baiskeli, Ila Kwa Sababu Ninajipimia Kuja Kumiliki Helcoper, naomba Msaada Wenu Wa Soko Zinapouzwa, gharama Zake In terms Of Dollars Na Aina Ipi Ni Bora.
Karibuni Kwa Maelekezo