Msaada: Nataka kuinstall APK lakini inaniandikia hivi?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Screenshot_20200628-091446.png


Shida ni nini wajuzi maana nimejaribu kudownload hiyo APK kupitia Opera Mini imeandika hivyo. Nikaona ngoja nijaribu kudownload kupitia Google bado pia imeniandikia hivyo
 
Kuna chance kubwa hiyo APK na Android version yako au chip haviendan

Kwanin usidownload play store?
 
Kuna chance kubwa hiyo apk na Android version yako au chip haviendan

Kwanin usidownload play store?
Mkuu hiyo APK ninayoitaka haipatikani play store nimeitafuta nimeikosa
 
Sometime ukifungua app tokea mahala ulipodownloadia haifunguki,

Nenda kwenye apps zako tafuta file manager ama files kisha ingia nenda kwenye internal then downloads tafuta app uliodownload then ifungue
 
Back
Top Bottom