Msaada: Nataka kufunga ndoa ya Bomani

Msaada: Nataka kufunga ndoa ya Bomani

1. Nendeni (Muoaji na muolewaji) ofisi ya mkuu wa Wilaya Vizazi na Vifo
-utahitajika kutoa kama Tsh 30,000/= kama Registration fee
2. Mtaandika detail zenu za kusudio la kufunga ndoa
3. Kusudio lenu litabandikwa kwenye ubao wa matangazo kwa muda wa siku 21 ili kuona kama kuna pingamizi kwa wanandoa watarajiwa. Na litaondolewa baada ya siku hizo kuisha.
4. Baada ya siku 21 utaenda tena, na kama huna pingamizi utapangiwa tarehe ya kufunga ndoa.
5. Mkuu wa Wilaya au mtumishi yeyote atakayeteuliwa na Mkuu wa wilaya atafungisha ndo.

NB: Kumbuka;-
-pete za ndoa
-Mavazi yoyote ya heshima
-Mashahidi wawili watu wazima(Mwanaume na mwanamke)
-Mpiga/Wapiga picha
-Watu wa kupiga vigelegele

****Usisahau ahsante kama 20,000/= kwa mwandikishaji ie wa vizazi na vifo ili mambo yako yaende faster.

ahsante sana,mkuuu nimeenda tayar tumeenda tunejiandikisha
 
Sorted...
 
Back
Top Bottom