Msaada: Nataka kufunga ndoa ya Bomani

Msaada: Nataka kufunga ndoa ya Bomani

faabroz

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
286
Reaction score
69
Habari wadau,

Naomba msaada nataka kufunga ndoa ya Bomani, naomba kujua hatua, na taratibu zingine zinazohitajika.

Je, naweza nikawa naishi Mwanza nikaenda kufungia Mbeya?

Natanguliza shukrani
 
habari wadau, naomba msaada nataka kufunga ndoa ya bomani, naomba kujua hatua, na taratibu zingine zinazohitajika, je naweza nikawa naishi mwanza nikaenda kufungia mbeyaa natanguliza shukranu
Inawezekana nenda kwa ofisi ya mkuu wa mkoa uliyopo, huko kuna taratibu zote utazikuta.
 
1. Nendeni (Muoaji na muolewaji) ofisi ya mkuu wa Wilaya Vizazi na Vifo
-utahitajika kutoa kama Tsh 30,000/= kama Registration fee
2. Mtaandika detail zenu za kusudio la kufunga ndoa
3. Kusudio lenu litabandikwa kwenye ubao wa matangazo kwa muda wa siku 21 ili kuona kama kuna pingamizi kwa wanandoa watarajiwa. Na litaondolewa baada ya siku hizo kuisha.
4. Baada ya siku 21 utaenda tena, na kama huna pingamizi utapangiwa tarehe ya kufunga ndoa.
5. Mkuu wa Wilaya au mtumishi yeyote atakayeteuliwa na Mkuu wa wilaya atafungisha ndo.

NB: Kumbuka;-
-pete za ndoa
-Mavazi yoyote ya heshima
-Mashahidi wawili watu wazima(Mwanaume na mwanamke)
-Mpiga/Wapiga picha
-Watu wa kupiga vigelegele

****Usisahau ahsante kama 20,000/= kwa mwandikishaji ie wa vizazi na vifo ili mambo yako yaende faster.
 
Habari wadau,

Naomba msaada nataka kufunga ndoa ya Bomani, naomba kujua hatua, na taratibu zingine zinazohitajika.

Je, naweza nikawa naishi Mwanza nikaenda kufungia Mbeya?

Natanguliza shukrani

Unaweza kufungia mahali popote maadamu uwe mkazi wa wilaya husika.
 
Njoo unijibu haya maswali:
1. Wewe me au ke???
2. Kwanini unakimbia kufungia huko unakoishi, kuna nin unaficha???
 
Habari wadau,

Naomba msaada nataka kufunga ndoa ya Bomani, naomba kujua hatua, na taratibu zingine zinazohitajika.

Je, naweza nikawa naishi Mwanza nikaenda kufungia Mbeya?

Natanguliza shukrani
Khaa!! Hamuaminiani hadi mnataka kuandikishiana? Kama kweli mnapendana basi msingehangaika na hayo makaratasi :glasses-nerdy:
 
1. Nendeni (Muoaji na muolewaji) ofisi ya mkuu wa Wilaya Vizazi na Vifo
-utahitajika kutoa kama Tsh 30,000/= kama Registration fee
2. Mtaandika detail zenu za kusudio la kufunga ndoa
3. Kusudio lenu litabandikwa kwenye ubao wa matangazo kwa muda wa siku 21 ili kuona kama kuna pingamizi kwa wanandoa watarajiwa. Na litaondolewa baada ya siku hizo kuisha.
4. Baada ya siku 21 utaenda tena, na kama huna pingamizi utapangiwa tarehe ya kufunga ndoa.
5. Mkuu wa Wilaya au mtumishi yeyote atakayeteuliwa na Mkuu wa wilaya atafungisha ndo.

NB: Kumbuka;-
-pete za ndoa
-Mavazi yoyote ya heshima
-Mashahidi wawili watu wazima(Mwanaume na mwanamke)
-Mpiga/Wapiga picha
-Watu wa kupiga vigelegele

****Usisahau ahsante kama 20,000/= kwa mwandikishaji ie wa vizazi na vifo ili mambo yako yaende faster.

Umemaliza kila kitu
 
hilo swali la pili akilijibu unistue

Tatizo hata akijibu hawezi kusema ukweli.

Hapo kuna mtu anakimbiwa, ujue ndoa za bomani zakipumbavu sana, mtu anafungishwa tu hata kama anamke, ilipaswa kabla ya kufunga ndoa, mtu apeleke barua za serikali ya mtaa wake, ndugu wa pande washiriki, na awe mwenyeji wa hapo anapofungia.
 
Hapa kuna mtu anakimbiwa ha ha ha,mkuu kwa nini usifunge ndoa unapoishi?..
 
Tatizo hata akijibu hawezi kusema ukweli.

Hapo kuna mtu anakimbiwa, ujue ndoa za bomani zakipumbavu sana, mtu anafungishwa tu hata kama anamke, ilipaswa kabla ya kufunga ndoa, mtu apeleke barua za serikali ya mtaa wake, ndugu wa pande washiriki, na awe mwenyeji wa hapo anapofungia.
na mimi nimenusa harufu ya wizi hapo
 
1. Nendeni (Muoaji na muolewaji) ofisi ya mkuu wa Wilaya Vizazi na Vifo
-utahitajika kutoa kama Tsh 30,000/= kama Registration fee
2. Mtaandika detail zenu za kusudio la kufunga ndoa
3. Kusudio lenu litabandikwa kwenye ubao wa matangazo kwa muda wa siku 21 ili kuona kama kuna pingamizi kwa wanandoa watarajiwa. Na litaondolewa baada ya siku hizo kuisha.
4. Baada ya siku 21 utaenda tena, na kama huna pingamizi utapangiwa tarehe ya kufunga ndoa.
5. Mkuu wa Wilaya au mtumishi yeyote atakayeteuliwa na Mkuu wa wilaya atafungisha ndo.

NB: Kumbuka;-
-pete za ndoa
-Mavazi yoyote ya heshima
-Mashahidi wawili watu wazima(Mwanaume na mwanamke)
-Mpiga/Wapiga picha
-Watu wa kupiga vigelegele

****Usisahau ahsante kama 20,000/= kwa mwandikishaji ie wa vizazi na vifo ili mambo yako yaende faster.

kumbe kuoa rahisi hivi
CC Karucee
 
Last edited by a moderator:

Precisely, ya nini kusumbuka na pressure zisizo na maana. Mnaoana then honeymoon kula gud tym. After all, kama ni "kujuana", mlishajuana mda tu.
 
Haaa haaa haaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kumbe ndoa ya bomani haina mambo mengi hivi..., !!!
 
1. Nendeni (Muoaji na muolewaji) ofisi ya mkuu wa Wilaya Vizazi na Vifo
-utahitajika kutoa kama Tsh 30,000/= kama Registration fee
2. Mtaandika detail zenu za kusudio la kufunga ndoa
3. Kusudio lenu litabandikwa kwenye ubao wa matangazo kwa muda wa siku 21 ili kuona kama kuna pingamizi kwa wanandoa watarajiwa. Na litaondolewa baada ya siku hizo kuisha.
4. Baada ya siku 21 utaenda tena, na kama huna pingamizi utapangiwa tarehe ya kufunga ndoa.
5. Mkuu wa Wilaya au mtumishi yeyote atakayeteuliwa na Mkuu wa wilaya atafungisha ndo.

NB: Kumbuka;-
-pete za ndoa
-Mavazi yoyote ya heshima
-Mashahidi wawili watu wazima(Mwanaume na mwanamke)
-Mpiga/Wapiga picha
-Watu wa kupiga vigelegele

****Usisahau ahsante kama 20,000/= kwa mwandikishaji ie wa vizazi na vifo ili mambo yako yaende faster.

Ahsante !!!!!!!!!!!! Mchango wako umenifadhili. Nilikua nampango kama uo , ila kwa sasa ntaenda kuandikisha hapa napoenshi ........
 
Back
Top Bottom