Wamgande kivipi, kwamba wamwambie asiache kazi au?Jambo la kwanza nenda benki uliyochukua mkopo, wape taarifa kwamba unaacha kazi na kwamba utaendelea kuwalipa mkopo wao.
Lakini hapo inaweza wakakuganda hadi ukajuta, wengine wanaacha kwanza kazi ndio wanataarifu benki husika kuhusu adhma yao ya kuacha kazi.
Kikubwa uwe na shughuli ya kueleweka itakayokuingizia kipato vha kujikimu na kulipa mkopo.
Kila la kheri
Wamgande kivipi, kwamba wamwambie asiache kazi au?
Kuacha kazi ni hiyari yake hakuna wa kumpangia.
Hata wakisumbuana nae, bado haki ya kuacha kazi iko mikononi mwake. Hakuna namna wanaweza kuzuia nia yake kama kweli anataka kuacha kazi.Ugandaji nnaoongelea hapa, wanaweza kuanza kusumbuana na mwajiri wake wakati hajaacha kazi bado.
Kumbuka kuna suala la mafao na stahiki za mwajiriwa.
Hata wakisumbuana nae, bado haki ya kuacha kazi iko mikononi mwake. Hakuna namna wanaweza kuzuia nia yake kama kweli anataka kuacha kazi.
Maana taratibu ni zile zile. Haki zake ziko pale pale.
Kama ana nia ya kuacha kazi aache tu. Hakuna chochote kinaweza kuzuia nia yake.
Why and how bro.You are Dooomed broh, if you will implement that above..
Naam. Nilikatwa bima mkuuJe ulikatwa bima ya mkopo?
Nimekusoma mkuu. ShukraniHivi umenielewa vizuri? Mie naongelea timing ( muda sahihi wa kutoa taarifa kwa benki inayomdai) wewe umejikita kwenye adhma na nia ya kuacha kazi.
Hakuna mahali nimesema watamzuia au wanamkataza kuacha kazi, jambo la msingi ni wakati gani muafaka kuwasiliana na mdai wake?
Kama unauhakika mafao utapata yakutosha kulipa Deni usiahangaike watachukua chao juu kwa juu.Naam. Nilikatwa bima mkuu
Naam. Nilikatwa bima mkuu
Hakuna wakati muafaka. Akitaka kuacha kazi anaacha muda wowote na wakati wowote. Hakuna perfect timing.Hivi umenielewa vizuri? Mie naongelea timing ( muda sahihi wa kutoa taarifa kwa benki inayomdai) wewe umejikita kwenye adhma na nia ya kuacha kazi.
Hakuna mahali nimesema watamzuia au wanamkataza kuacha kazi, jambo la msingi ni wakati gani muafaka kuwasiliana na mdai wake?
Mkuu aksante kwa ushauri wako. Kimsingi nimeshafanya maamuzi ninachouliza hapa ni safe exit bila kukwaruzana na taasisi za fedha wanaonidai.wenzako wanatafuta kazi alafu ww unaacha kazi... ushauri wangu usiache fanya kazi huku unapiga mishe zako zingine..
kazi ya serikali ni security tosha if know what i mean
hizi semina za hawa motivational speakers zinawaponza sana watu daaaah