Msaada nataka file zangu niweke password

Download WINRAR software hapa
WinRAR
Kisha utainstall kwenye pc yako. Ukimaliza utakusanya Document zote unazotaka kuziwekea password kwenye file moja, kiwango cha juu kabisa cha ukubwa wa file ni 1tb. Uta right click ilo file na alafu uta ADD TO ARCHIVE
Ukiangalia kwenye menyu itakayokuja kwa chini utaona sehemu ya SET PASSWORD uta click kisha utaweka nywila zako kisha click Ok and Ok.. View attachment 826617View attachment 826618View attachment 826619
Sawa sasa kama nataka kila file liwe na password yake maana unakuta unagharamia kitu alafu mshikaji wako anagawa bure na ukimwambia mnakosana sasa nataka kutengeneza hiyo kitu ata akiuza akitoa lkn nitafutwe ktk kuligungua hilo file sio folder
 
Kama ni kila file unaweza ukafanya hivyo pia ila utafanya kwa kila file unalotaka liwe na ulinzi
Right click FILE HUSIKA
ADD TO ARCHIVE
SET PASSWORD
Hii itakua inaonekana ni file ila kila ukilifungua litadai password ya muhusika
 
Nashukuru mkuu naleta feedback
 
Download WINRAR software hapa
WinRAR
Kisha utainstall kwenye pc yako. Ukimaliza utakusanya Document zote unazotaka kuziwekea password kwenye file moja, kiwango cha juu kabisa cha ukubwa wa file ni 1tb. Uta right click ilo file na alafu uta ADD TO ARCHIVE
Ukiangalia kwenye menyu itakayokuja kwa chini utaona sehemu ya SET PASSWORD uta click kisha utaweka nywila zako kisha click Ok and Ok.. View attachment 826617View attachment 826618View attachment 826619
Yes Winrar ni nzuri sana kwa password,sensitive files zangu nyingi zina password kwa kutumia winrar.
 
Kama ni kila file unaweza ukafanya hivyo pia ila utafanya kwa kila file unalotaka liwe na ulinzi
Right click FILE HUSIKA
ADD TO ARCHIVE
SET PASSWORD
Hii itakua inaonekana ni file ila kila ukilifungua litadai password ya muhusika
Wakuu asanteni sana nimefanikiwa maana kuna watu wanashindwa atakuchangia gharama hapa ndio tiba yao sasa nawashukuru
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom