Msaada nataka file zangu niweke password

Msaada nataka file zangu niweke password

kagombe

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
3,624
Reaction score
1,827
Kama kichwa cha habari kinavyo jielewezea nina file muhimu nataka kuweka password
 
Nina file ktk pc yangu nataka kuziwekea password kila file liwe naweka password
Kama MS office document yeyote unaweza kuweka password just google it.
PDF pia unaweza kuprotect na password.

Practically any document can be password protected.
 
Itakuwa vizuri uki search namna ya kuweka password kwa kila aina ya faili unalotaka kufanya hivyo.
Sababu PDF, image, na Ms Word hutofautiana.
Hata version tofauti za ms word hotofautiana namna ya kuweka password.
 
Sawa mkuu ila ni program zangu flani za kazi sasa kuna
 
Nasubiri hapo kwenye kuprotect folder zima lenye documents nyingi.
 
Kaka ni software pc na phone file
Tatizo linakuja hapo kwenye phone file maana hizo software nyingi zina lock folder na ku-encrypt file hivyo kusababisha zisifunguke kwenye simu na kwenye google drive au cloud storage service zingine.
 
Kichwa kinaniuma ila ngoja nipambane nione kama nitafanikiwa kuweka file lock
 
Tafuta application inayoitwa POWER ISO hii unaweza ukaweka password file lolote. Ingia Advanced options, password protection. Kwa msaada zaidi njoo PM
 
Tafuta application inayoitwa POWER ISO hii unaweza ukaweka password file lolote. Ingia Advanced options, password protection. Kwa msaada zaidi njoo PM
Power iso ninayo natengenezeaga windows.dah sikujua ndio maana bora jf wako watu muhimu kwangu
 
Download WINRAR software hapa
WinRAR
Kisha utainstall kwenye pc yako. Ukimaliza utakusanya Document zote unazotaka kuziwekea password kwenye file moja, kiwango cha juu kabisa cha ukubwa wa file ni 1tb. Uta right click ilo file na alafu uta ADD TO ARCHIVE
Ukiangalia kwenye menyu itakayokuja kwa chini utaona sehemu ya SET PASSWORD uta click kisha utaweka nywila zako kisha click Ok and Ok..
1533370790755.jpg
1533370815341.jpg
1533370844099.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom