Ni kweli Kuna wakati Tanzanite inaingia mapema kuliko Ally's, lakini Mara nyingi Ally's anaingia mapema kuliko Tanzanite. Mimi ni mdau mkubwa wa usafiri hasa route hiyoNaona wengi mnakomaa Na Ally star Sidhani Kama mna uzoefu sana na hiyo njia, Tanzanite anaikalisha Ally star daily, mimi ni nasafiri Sana wa hiyo njia naongea Kwa uzoefu wa sasa.
Hii nayo ni tetesi?Habari ya wakati huu wanajukwaa?
Kama kichwa kinavyojieleza, naomba msaada kwa uzoefu wenu. Nimepata safari ya Dar - Mwanza wiki ijayo na natamani kupanda bus ambalo linafika mapema kuliko yote kwani mimi ni muumini wa mwendokasi but wa kistaarabu. Je nipande bus gani?
...Kweli kabisa mkuu, nilikosa ally's star, happy nation, nikapanda zuberi. Jamaa alikuwa anatembea haswaaa but gari ikazingua Singida lakini hao kina ally's, happy nation na tanzanite tuliwasomesha namba sanaaaaKisbo hayupo kwa sasa Dar Mwanza. Achukue Allys, akikosa apande Happy nation au Zuberi au Tanzanite. Nyingine hizo Mwanza ataiona saa 7 usiku.
....Tatizo mfuko hauruhusu mkuuu....,ππKama ni muumini wa mwendokasi kula flight.
2hrs upo Mwanza Airport unakunywa supu ya Sato!
...sorry mkuu nlisahau kufuta neno tetesi kabla sijapandisha huo uziHii nayo ni tetesi?
Ulifika saa ngapi?!!...sorry mkuu nlisahau kufuta neno tetesi kabla sijapandisha huo uzi
Zuberi ana Zhongtong ziko vizuri.....Kweli kabisa mkuu, nilikosa ally's star, happy nation, nikapanda zuberi. Jamaa alikuwa anatembea haswaaa but gari ikazingua Singida lakini hao kina ally's, happy nation na tanzanite tuliwasomesha namba sanaaaa
..Gari ililala Singida kwa maana kifaa kilichoharibika ilibidi kitoke Mwanza. Abiria tulifaulishwa kwenye mabasi mengineUlifika saa ngapi?!!
...Mwanza nikafika saa Saba usiku..Gari ililala Singida kwa maana kifaa kilichoharibika ilibidi kitoke Mwanza. Abiria tulifaulishwa kwenye mabasi mengine
Comfort or hell?ππππππmwendokasi na wa kistaarabu hazijawi kupatana ,,chagua moja comfort or hell...
Panda ndegeHabari ya wakati huu wanajukwaa?
Kama kichwa kinavyojieleza, naomba msaada kwa uzoefu wenu. Nimepata safari ya Dar - Mwanza wiki ijayo na natamani kupanda bus ambalo linafika mapema kuliko yote kwani mimi ni muumini wa mwendokasi but wa kistaarabu. Je nipande bus gani?