...Sawa mkuumwendokasi na wa kistaarabu hazijawi kupatana ,,chagua moja comfort or hell...
Nashkuru Ndugupanda Ally s star saa nne uko mwanza
...👍👍panda Allys hutajutia saa moja linakua shinyanga by saa tatu nne hiv unakula zako sato,hufuta Happy nation then Dar lux
Kisbo hayupo kwa sasa Dar Mwanza. Achukue Allys, akikosa apande Happy nation au Zuberi au Tanzanite. Nyingine hizo Mwanza ataiona saa 7 usiku.Kisbo, happy nation
IsamiloHabari ya wakati huu wanajukwaa?
Kama kichwa kinavyojieleza, naomba msaada kwa uzoefu wenu. Nimepata safari ya Dar - Mwanza wiki ijayo na natamani kupanda bus ambalo linafika mapema kuliko yote kwani mimi ni muumini wa mwendokasi but wa kistaarabu. Je nipande bus gani?
Kama ni muumini wa mwendokasi kula flight.Habari ya wakati huu wanajukwaa?
Kama kichwa kinavyojieleza, naomba msaada kwa uzoefu wenu. Nimepata safari ya Dar - Mwanza wiki ijayo na natamani kupanda bus ambalo linafika mapema kuliko yote kwani mimi ni muumini wa mwendokasi but wa kistaarabu. Je nipande bus gani?
Panda Basi la Allys ila uwe na Roho ngumu.Habari ya wakati huu wanajukwaa?
Kama kichwa kinavyojieleza, naomba msaada kwa uzoefu wenu. Nimepata safari ya Dar - Mwanza wiki ijayo na natamani kupanda bus ambalo linafika mapema kuliko yote kwani mimi ni muumini wa mwendokasi but wa kistaarabu. Je nipande bus gani?
17hrsHivi dar to mwanza ni masaa mangapi?
Hawafai hao utafika saa 11alfajiriIsamilo