Msaada: Natafuta vitabu hivi

Msaada: Natafuta vitabu hivi

strategist22

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Posts
655
Reaction score
599
Nimepita house of wisdom na elitebook shop, hawana.
IMG-20180531-WA0004.jpg
IMG-20180531-WA0003.jpg
 
Jaribu mkuki na nyota. Wacheki mtandaoni utaona list ya vitabu walivyonavyo.
Ukienda UDSM hakuna duka maalum labda uende ktk dept inayohusika na hivyo vitabu utauziwa.
 
Jaribu mkuki na nyota. Wacheki mtandaoni utaona list ya vitabu walivyonavyo.
Ukienda UDSM hakuna duka maalum labda uende ktk dept inayohusika na hivyo vitabu utauziwa.
Mkuki na nyota hawana
 
Zamani nilikuwa nanunua vitabu vyangu pale Tanzania Publishing House mtaa wa Samora. Ila sijui Dar ya sasa kama ina vitabu hivyo!!

Hivi lile duka la vitabu Pale kanisa Katoliki Mtakatifu Joseph kwa nyuma mtaa wa Mansfield bado lipo?
Tph hawana hivyo vitabu
 
Hicho ni cha Mwakyembe. Muulize kama bado anavyo maana nadhani vilifululizana na kile cha "Pepo ya mabwege"
Sidhani kama umewahi hata kukisikia. The way you sound sidhani kama ulikuwa umeshazaliwa wakati kitabu hiki kinatoka
 
Sidhani kama umewahi hata kukisikia. The way you sound sidhani kama ulikuwa umeshazaliwa wakati kitabu hiki kinatoka
Unadhani ni kinakufanya udhani sijakisoma? Maudhui yake na baadhi ya wahusika wanafanana na watu waliomo kwenye "Pepo ya Mabwege" . Kwani wewe unaona ilikuwa ni zamani sana?
 
Unadhani ni kinakufanya udhani sijakisoma? Maudhui yake na baadhi ya wahusika wanafanana na watu waliomo kwenye "Pepo ya Mabwege" . Kwani wewe unaona ilikuwa ni zamani sana?
Miaka ya 70 mwishoni au 80 mwanzoni ni zamani sheikh. Kwa zama hizi huo ni umri wa mtu kabisa. Sasa hapo ungenisaidia jinsi ya kukipata maana huyo uliyenitajia sidhani kama amewahi tu kukiona
 
Back
Top Bottom