Habari zenu wakuu, ninatafuta professional wireless microphone za shure original kabisa kariakoo sijaona anaeuza wengi wanauza shure za kichina, kuna yeyote anaeziuza hapa tanzania? na kwa wazoefu wa hizi mic ni frequency zipi ni nzuri kwa bongo mana kuna
h9(512-542Mhz)
h10(542-572Mhz)
h11(572-596Mhz)
J11(596-616Mhz)
h9(512-542Mhz)
h10(542-572Mhz)
h11(572-596Mhz)
J11(596-616Mhz)