Kiongozi, Wapewe kwa kipimo gani kwenye maji?Respicure ( Respacare )
Mills 50 bei 6K
Mills 100 Bei 9k.
Matandazo yaweza kuwa chanzo.
1 mil kwa 1 litreKiongozi, Wapewe kwa kipimo gani kwenye maji?
Unamaanisha Alovera?Tumia mimea tu, jima nmesahau inamajani manene yenye miba nyngine znkuwa na muonekano kama katani pembeni inkuwa na miba miba, chukua Jani Moja pondaponda Kisha loweka kwa masaa 12 Kisha wapelekee kuku
Asante1 mil kwa 1 litre
hii nayo inatumika kwa kipimo gani?Tumia antibiotic neomycin
Banda lako lina mzunguko wa hewa wa kutosha mkuu?Naombeni uzoefu kwa wafugaji wa Broiler
Nimekuwa nafuga wa hao kuku ILA tatizo kubwa ninalo pambana nalo ni mafua
Huwa na tumia, matandazo ya Pumba za mpunga na chakula rasmi cha Interchik
Banda lako lina mzunguko wa hewa wa kutosha mkuu?
Tupe picha...hata kwa maneno.
Kutoka msingi hadi uwazi wa dirisha n cm ngapi( tupimie na tape measure)
- Badiri tandazo( ama tafuta masalia ya mpunga ya zamani ( yasixo na vumbi) au randa isiyoumiza( nusa, vuta pumzi uone kama itakupigisha chafya( usipopiga) hio inafaa TUMIA.
- Kuku mnywa dawa kwa wingi hupozeza radha, jaribu kurekebisha mazingira kwanza.
Zinatakiwa ziwe koz mbili tu(=50cm)...si tatu.kwa
Kwa sababu za Usalama (vibaka), banda nimejenga kama nyumba ila ukuta wa mbele; nimejenga matofali matatu tu na nikaacha wazi hadi kwenye lenta na kwa nyuma kwenye ukuta nimeweka Luvas japo sio nyingi
Kuhusu pumba za mchele; umetaja hapo pumba za zamani, unamaanisha zilizokaa wastani wa muda gani mwezi/mbili/tatu?
Tukienda kwenye mshine za kukoboa mpunga tunachota tu mapumba ya mpunga, sasa nitajuaje yasiyo na vumbi?
Asante kwa ushauri wa maranda ya mbao, nitajaribu kufanya utafiti nione kama yanapatikana kwenye hili eneo,
kwa

Nadhani una maanisha AloevelaTumia mimea tu, jima nmesahau inamajani manene yenye miba nyngine znkuwa na muonekano kama katani pembeni inkuwa na miba miba, chukua Jani Moja pondaponda Kisha loweka kwa masaa 12 Kisha wapelekee kuku
wanaita MTAKALANYONGO, wasukuma wanaita SANYENGETumia mimea tu, jima nmesahau inamajani manene yenye miba nyngine znkuwa na muonekano kama katani pembeni inkuwa na miba miba, chukua Jani Moja pondaponda Kisha loweka kwa masaa 12 Kisha wapelekee kuku