Watu wengine hata huyo Allah wenu hamumwogopi???Mnapiga uongo kwa kwenda mbele,Kabla mkamzushia Amekufa na tena sasa mnamtungia CV ya uongo ndiyo maana huyo Allah wako haaminiki maana watu wakikuona wewe uko Machepele sasa wewe utaniambia nimwamini unayemwamini wewe??Acheni Uongo wenu
Echolima, inaonekana wewe hujui. Allah ndiye baba wa huo uwongo kama alivyoandikwa kwenye Biblia. Wafuasi wake wakisema uwongo, wanafanya ibada yenye thawabu.
Angalia hapa
https://www.google.co.tz/url?sa=t&r...5GyME-wucPLz8VNMQ&sig2=q8cNgjH5-UEwbZv1NpGDDA
haha ha,tena mwambieni huyo ngwajima aishie huko huko kutukana makadinali na maaskofu,siku anatukani shehe ama ustaadhi ndo siku atajua kwanini boxer hainaga milango.
Apologise lady
Sio kufatilia huyu amekuwa akizungumziwa sana amekuwa kama icon kwenye media swala la kujua Cv hilo kawaida ...tukimjua tutaunganisha dot nakupa njia nzuri ya kumdefine
Wadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii.
Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake la zamani, n.k.
Tabia zake na za waumini wake ni kama vile ........
Watu wengine hata huyo Allah wenu hamumwogopi???Mnapiga uongo kwa kwenda mbele,Kabla mkamzushia Amekufa na tena sasa mnamtungia CV ya uongo ndiyo maana huyo Allah wako haaminiki maana watu wakikuona wewe uko Machepele sasa wewe utaniambia nimwamini unayemwamini wewe??Acheni Uongo wenu
Oh no. Kumbe kaishia kidato cha nne? Tena Buswelu sec. Pole sana Gwajima. Sasa nimeelewa kwa nini uliongea na kutukana kama ulivyorekodiwa.Raia mwema ya leo wametoa kidogo.Lakn amezaliwa Mwanza na elimu ya kidato cha 4 aliyopata Buswelu sec.Inasemekana amesoma chuo cha bıblia huko Nairobı.Anafufua wafu japo hakujapatikana ushahdi kwa aliyekufa akiwa na death certificate akafufuka.Inasemekana nı fan mwaminıfu wa Lowasa.Ana shamba kubwa la ng'ombe huko Mwanza.
haha ha,tena mwambieni huyo ngwajima aishie huko huko kutukana makadinali na maaskofu,siku anatukani shehe ama ustaadhi ndo siku atajua kwanini boxer hainaga milango.
haha ha,tena mwambieni huyo ngwajima aishie huko huko kutukana makadinali na maaskofu,siku anatukani shehe ama ustaadhi ndo siku atajua kwanini boxer hainaga milango.
Wadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii.
Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake la zamani, n.k.
Tabia zake na za waumini wake ni kama vile ........
Tupe CV ya Mtume Muhamedi tuione, maana tabia zake na za wafuasi wake ni kama .........ISISWadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii.
Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake la zamani, n.k.
Tabia zake na za waumini wake ni kama vile ........
Tupe CV ya Mtume Muhamedi tuione, maana tabia zake na za wafuasi wake ni kama .........ISIS