Rapture Man
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 439
- 145
Mkuu Elungata, unatania au unasema kweli. Nataka niifanyie kazi hii CV eti!
ha ha ha,hicho ni kama kichokozeo,ili wanaomjua maana naona anao watu wake wengi humu waje na data kamili.
ukiona kimya,ujue hajulikani na wala haijulikani katokea wapi,then tuna conclude kwamba ni mhamiaji haramu.
Wadau, ninatilia shaka sana maarifa na elimu ya huyu ndugu Gwajima (Mch au Askofu?) kutokana na maneno yake mbele ya jamii.
Kuna mwenye CV yake tuichambue hapa? Elimu ya sekondari (csee na acsee), University, Chuo cha Kichungaji alikopitia, dhehebu lake
Tabia zake na za waumini wake ni kama vile ........
Sio kufatilia huyu amekuwa akizungumziwa sana amekuwa kama icon kwenye media swala la kujua Cv hilo kawaida ...tukimjua tutaunganisha dot nakupa njia nzuri ya kumdefine
Unajua mi naona wabongo tunapoteza muda mrefu sana kujadili watu wenye mafanikio yao kisha tunasahau ya kwetu tubadilike
Kama ni kweli basi gwajima ni mtu mjinga kulinganisha na nafasi ya heshima anayopewa na hao wafuasi wake wasaka miujiza.Yeye mwenyewe ni miujiza ndio maana wafuata miujiza wanamfuata. Mtu kuhubiri neno la mungu unafanya kama sanaa kuficha ujinga na nia mbaya ya kujitafutia utajiri kilaghai. Hivi gwajima anaweza kumwambia nini Pengo msomi wa hali ya juu kama sio kuhorojoka maneno ya ovyo na kufanya maigizo ya usanii.alizaliwa lubumbashi,congo miaka ya 80,kisha wazazi wake walikimbia vita na kuja kuweka makazi geita,ambako alisoma darasa la kwanza mpaka la tano akawa ameacha shule kwa kukosa uniform.
akawa anaishi kwa kufanya ufundi ujenzi kabla hajaja dar es salaam kutafuta maisha.
alipata wazo la kufungua kanisa baada ya hali ya maisha kuzidi kuwa ngumu miaka ya 2000.
akawa ameyapatia maisha
alizaliwa lubumbashi,congo miaka ya 80,kisha wazazi wake walikimbia vita na kuja kuweka makazi geita,ambako alisoma darasa la kwanza mpaka la tano akawa ameacha shule kwa kukosa uniform.
akawa anaishi kwa kufanya ufundi ujenzi kabla hajaja dar es salaam kutafuta maisha.
alipata wazo la kufungua kanisa baada ya hali ya maisha kuzidi kuwa ngumu miaka ya 2000.
akawa ameyapatia maisha