Msaada: Natafuta app ya kuzuia simu zote nazopigiwa na kusomeka niko busy muda wote

Adolph Jr

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
5,857
9,338
Salaam wana jf,
Naomba kufahamu ni Application gani ya simu [smart phone ] inayoweza kuzuia simu zote Ninazopigiwa na mtu yeyote kuonekana kwamba nipo busy muda wote 24/7...kwani napenda kuchat tu na siyo kupigiwa simu labda kama nimependa kuwapigia mwenyewe baada ya kukutana missed calls. ....please naomba msaada huo wa kuzuia simu ....Samahani sana. ...
 
kama unatumia tigo tumia code hizi
lock; *21*002#
unlock; #002#
hii inafanya kuzuia simu unazopigiwa ila msg zinaingia kama kawaida, ila kwa upande wako unaweza kupiga simu na kutuma msg kama kawaida
Na voda inakuwaje mkuu, tujuze
 
kama unatumia tigo tumia code hizi
lock; *21*002#
unlock; #002#
hii inafanya kuzuia simu unazopigiwa ila msg zinaingia kama kawaida, ila kwa upande wako unaweza kupiga simu na kutuma msg kama kawaida
Jonax uko serious brother
 
kama unatumia tigo tumia code hizi
lock; *21*002#
unlock; #002#
hii inafanya kuzuia simu unazopigiwa ila msg zinaingia kama kawaida, ila kwa upande wako unaweza kupiga simu na kutuma msg kama kawaida
It works
 
Me hadi leo sijapata App inayozuia kabisa usipatikane hata anaekupigia asijue kama umekata
Sababu nimetumia truecalller na Call blocker lakini anayekupigia lazima simu yake itaita kidgo ndo badae ataambiwa uko busy means kama umeikata(abort) na yeye atajua umeikata
Kama kuna apps ambayo inazuia bila anayekupigia kujua kama simu imekatwa na mimi nasubiri hapa!
 
Ziko nyingi sana,zinaweza zikazuia simu zote ama baadhi utakazopigiwa
Mi nataka ya kuzuia baadhi ya watu wasinipate kabisa mkuu

Pls nijulishe ni App ipi ya kublock baadhi tu ya watu.
 
Ukitaka divert all calls kwa namba isiyotambulika mfano divert kwenda kwenye namba yako ila ongeza digit moja mbele ziwe 11 ukipiga utaambiwa hakikisha namba ya mteja unayempigia na upige tena.
mfano namba yako ni 0711223344 divert kwenda kwa namba hiyo hiyo ila ongezea namba nyingine kama hivi 07112233441.
 
tuelewesha hapoa vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom