Ndugu Wana jf naomba kwa wanaoishi daslam mnielekeze wapi ntapata anointing water ya good morning, ya T. B Joshua anaejua hela ni pesa ngapi nisaidieni jamani nina shida na imaniyangu inaamini kupitia anointing water.
Kwanini usiyafanyie mwenyewe hiyo Anointing...Kwani unadhani kuna kitu gani cha ziada anacjofanya zaidi yakuyasemea NENO.....namna hii ndio inapelekea kudhani watumishi wa MUNGU kama wanatumia uchawi jambo ambalo sikweli...so haijalishi ninani analitamka chamuhimu umelitamka NENO la MUNGU lazima kusudi lake litimie maana anasema NENO lake halitamrudia bure
Tumetofautiana upako ndugu
Siwezi kupeleka maji kwa padri ayaombee Kwasababu mapadri ni watendadhambi tu, ni wazinzi hivo hawajafunikwa na utukufu wa mungu
Ngumbuke
Acheni kuwa na imani haba enyi wanadamu. Biblia inasema "Watu wangu wanaangamia kwa kukisa maarifa" lakini Pia amelaaniwa amtumainiaye mwanadamu...." Yaani unashindwa kuingia faragha ukamweleza Muumba wako shida zako! Wewe mkristo gani!!Aibu kweli...
Mapadri watenda dhambi!! una uhakika gani kwamba ni watenda dhambi unaweza kuthibitisha hili?.Pia una uthibitisho kwamba T.B Joshua si mtenda dhambi na ndio maana unayaamini maji yake aliyoyaombea,unaweza kuthibitisha kwamba T.B Joshua amefunikwa na utukufu wa mungu na si hisia zako tu.
Hee hee halafu utakuta mtafuta maji ni mfanyakazi wa TRA anataka kutumia hiyo ''annointing water'' kupooza jipu lililotumbuliwa!
Yalikuwa ni majibu kwa mleta mada, sio kwa wengineSasa haya maji huwasaidia nini? Kwanini usichote yako ukaya swalia? Kuna mstari mwembamba sana kati yenu na washirikina maana wote mnaabudu wanadamu ..! Kwani nyie hamuwezi kuswalia maji au hamna imani? Wajinga ndio waliwao...biashara hiyo...
Jaman shida nn? Mimi ndo ntayanunua na Kuya tumia nyinyi hamuwezi acheni vp Jaman
Hee hee halafu utakuta mtafuta maji ni mfanyakazi wa TRA anataka kutumia hiyo ''annointing water'' kupooza jipu lililotumbuliwa!
Mapadri watenda dhambi!! una uhakika gani kwamba ni watenda dhambi unaweza kuthibitisha hili?.Pia una uthibitisho kwamba T.B Joshua si mtenda dhambi na ndio maana unayaamini maji yake aliyoyaombea,unaweza kuthibitisha kwamba T.B Joshua amefunikwa na utukufu wa mungu na si hisia zako tu.
Hii mitandao ya kijamii kila mtu anaongea ujinga wakeWaislam hawatumii maji ya baraka kwamba yameombewa na sheikh flani hapana maji ya Zamzam historia yake ni maji yaliyotokea kimiujiza na yaliombewa dua na nabii Ibrahimu yawe maji salama kwa ummah wa kiislam yani watu walio surrender kwa Mwenyezi Mungu na dini zote zinamkubali Ibrahim alikuwa Mtume sio huyu TB joshua ambaye hata baadhi ya wakristo hawamkubali. Kajipa unabii wakati unabii ulishaisha
Nami nahitaji morning water kuliko kawaida... kama vipi niinbox nami my dear ulivyoyapata...Nashukuru nimefika dar nimepata anointing water
Nami nahitaji morning water kuliko kawaida... kama vipi niinbox nami my dear ulivyoyapata...
FulsaKama unahitaji annointing water from scoan nenda benjamin mkapa tower