Huu nao ni aina ya ushirikina!Ndugu Wana jf naomba kwa wanaoishi daslam mnielekeze wapi ntapata anointing water ya good morning, ya T. B Joshua anaejua hela ni pesa ngapi nisaidieni jamani nina shida na imaniyangu inaamini kupitia anointing water.
Sasa haya maji huwasaidia nini? Kwanini usichote yako ukaya swalia? Kuna mstari mwembamba sana kati yenu na washirikina maana wote mnaabudu wanadamu ..! Kwani nyie hamuwezi kuswalia maji au hamna imani? Wajinga ndio waliwao...biashara hiyo...Nendajengo la Benjamin mkapa tower,posta mpya,ukiuliza hapo ghorofa za chini utampata wa kukuelekeza,mengine ya bei utayakuta huko huko,ni dsm
Nenda Benjamin Mkapa Tower pale Posta, uliza pale receiption first floor watakuonyesha ofisi yao ilipo . Mara ya mwisho bei ilikuwa ni $50. Jitahidi ufike kabla ya saa nne asubuhi kwani wana muda wao wa kazi
Sasa haya maji huwasaidia nini? Kwanini usichote yako ukaya swalia? Kuna mstari mwembamba sana kati yenu na washirikina maana wote mnaabudu wanadamu ..! Kwani nyie hamuwezi kuswalia maji au hamna imani? Wajinga ndio waliwao...biashara hiyo...
Ndugu Wana jf naomba kwa wanaoishi daslam mnielekeze wapi ntapata anointing water ya good morning, ya T. B Joshua anaejua hela ni pesa ngapi nisaidieni jamani nina shida na imaniyangu inaamini kupitia anointing water.