Msaada nashindwa ku-root S4 yangu

Msaada nashindwa ku-root S4 yangu

Attachments

  • 1435675504275.jpg
    1435675504275.jpg
    24.8 KB · Views: 136
Wakuu nimekuwa nikitamani sana ku-root simu yangu lakini nashindwa. Nilijaribu kwa kutumia Towelroot na kingoroot lakini wote wameshindwa. Nimecheki cpu-z inaonyesha simu yangu haina access ya root, je hii yaweza kuwa sababu? Msaada wataalamu

s4 tumia Odin utaflash na Cf root .achana na root za kichina hizo..Mimi nmekua nikiroot s4 kwa kutumia cf root.
 
Ingawa bado nina shida ya kupdate su binary, nimejaribu kufuata maelekezo kwenye forum xda lakini bado inaleta kichwa ngumu. All in all the phone is already rooted
 
Tumia built kinguser badala ya SU

Sawa, ila mimi ipo kingouser not kinguser lakini pia nayo inanidai update. Jana nilijaribu superuser pia though I'm not comfortable with it.
 

Attachments

  • 1435727605008.jpg
    1435727605008.jpg
    55.9 KB · Views: 110
Inapafm the same ila kama unataka SU inabidi utumie odin ila sasa unahitaji umakini usije crash ROM

Ngoja nitumie hii hii kingouser, nimefuata maelekezo yako kwenye pm naona kingouser inafanya kazi now, wacha nijaribu kuupdate su binary
 
* Unatumia android version ipi?....

* Kama ni Lollipop...Unge-install Philz touch recovery ku-replace stock recovery kwanza.....halafu uka-install Super Su.....na ku-update binary kutumia normal au CWMR....
 
Back
Top Bottom