Msaada nashindwa ku-root S4 yangu

Msaada nashindwa ku-root S4 yangu

mzalendo-wa-tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2014
Posts
404
Reaction score
187
Wakuu nimekuwa nikitamani sana ku-root simu yangu lakini nashindwa. Nilijaribu kwa kutumia Towelroot na kingoroot lakini wote wameshindwa. Nimecheki cpu-z inaonyesha simu yangu haina access ya root, je hii yaweza kuwa sababu? Msaada wataalamu
 

Attachments

  • 1435664545152.jpg
    1435664545152.jpg
    52.7 KB · Views: 313
Wakuu nimekuwa nikitamani sana ku-root simu yangu lakini nashindwa. Nilijaribu kwa kutumia Towelroot na kingoroot lakini wote wameshindwa. Nimecheki cpu-z inaonyesha simu yangu haina access ya root, je hii yaweza kuwa sababu? Msaada wataalamu

Ndungu mzalendo-wa-tz
Pakua Towelroot hapa >> https://towelroot.com/tr.apk
Before rooting hakikisha ume-enable "USB Debugging" kwenye Developers Options/Development Settings.
 
Last edited by a moderator:
Achana na hiyo download kingroot.apk na fuata maelezo baada ya kuinstall, kama unaweza kufanya kwa pc rootgenius is the best
Nipe feedback
 
Achana na hiyo download kingroot.apk na fuata maelezo baada ya kuinstall, kama unaweza kufanya kwa pc rootgenius is the best
Nipe feedback

Hiyo kingroot pia ilikataa. Labda nijaribu kwa hiyo pc rootgenius. Nitaleta feedback
 
Basi sawa rootgenius itakufaa, tafuta eng version maana ni ya kichina hakikisha tu ni rootgenius.exe

Siku ya kufa kwa nyani miti yote uteleza.... wamenipa notes hii daah
 

Attachments

  • 1435670263656.jpg
    1435670263656.jpg
    36.6 KB · Views: 177
Na nime-retry kama mara tatu lakino ina-restart then inanipa huu ujumbe kila ninapojaribu kuanza upya.
 
Hiyo simu itakuwa made in unknown, maana simu nyingi hata s4 mchina zina_accept kwa rahisi sana.
 
Hiyo simu itakuwa made in unknown, maana simu nyingi hata s4 mchina zina_accept kwa rahisi sana.

Kuna sometimes we never be lack yaani naweza nkaroot the same model moja ikakataa hadi nitumie version nyingine
 
Back
Top Bottom