Msaada nashindwa ku-root S4 yangu

Msaada nashindwa ku-root S4 yangu

Natumia 4.4.2

* Hiyo ni Kitkat...uki-flash clock work mod recovery (CWMR) kama philz touch ambayo ipo kwenye format ya tar.md5 kutumia odin ....then uka-flash CF auto-root ya GT-I9500 tar.md5 kutumia odin....

* Wakati wa ku-update binary una-update using CWMR not normal....
 
* Kwa sababu usha-root, flash hiyo CWMR kutumia odin....then u-update binary kutumia CWMR....

mkuu ku root cm ndio nn..maana mm natumia s4 sijui chochote kuhusiana na hizo issue..hebu nifumbue macho nisije nikaadhirika mie
 
mkuu ku root cm ndio nn..maana mm natumia s4 sijui chochote kuhusiana na hizo issue..hebu nifumbue macho nisije nikaadhirika mie

* Ku-Root ni kujaribu kupata ‘administrative access' kwenye android…ukifaulu ku-root simu yako unaweza kubadilisha na kurejesha mfumo wa simu (software) kadri unavyotaka… ni kama mfungwa anavyovuka ukuta wa jela….au mtu anayefungua geti lenye vizuizi….na una-root simu ili kupata faida zilizofichwa au kuzuiwa na watengenezaji wa simu…

* Faida kama hizi kwa mfano:

* Inasaidia katika kubadilisha features za kwenye simu, rangi n.k..unaweza kutumia application kama 'exposed framework' kubadilisha vitu vingi kwenye simu yako…pia unaweza kutumia features za kwenye simu zingine kwenye simu yako, mfano 'Beats Audio' ya HTC ukaiweka kwenye Samsung….

* Inasaidia kuongeza spidi ya simu na mda wa battery kukaa na charge..mfano unaweza kutumia application kama 'setCPU' ku-boost uwezo wa simu na kutunza charge..

* Uki-root simu unaweza kuzuia matangazo yote yanayojitokeza pindi unapotumia simu…utatumia application kama AdFree, AdBlock Plus, Ad Away, Lucky Patcher (inasaidia pia ukitaka kupata pro or premium features za baadhi ya applications)

* Inasaidia ku-back up simu kwa ajili ya kuirudisha katika hali yake ya kawaida….mfano, ku-back up application na system data pale unapo-update au ku-upgrade Android System au unapobadilisha ROM, hutahitaji ku-install upya applications kutoka kwenye Google Play Store, pia data za kwenye system zinakuwepo…

* Inasaidia kutoa application zilizokuja na simu ambazo huwezi kuzitoa kwa njia ya kawaida..wanaziita bloatware au crapware..mfano mtu hataki kutumia 'Group play', 'Samsung Chat-on', application yoyote ambayo ipo kwenye simu yako na wewe huihitaji….

* Inasaidia kubadilisha au kuweka Kernel unayoitaka….kernel inafanya application ziweze kuwasiliana na hardware za simu yako…kwahiyo ukiibadilisha unaweza kuongeza uwezo wa simu, battery kukaa mda mrefu na kucharge kwa haraka, na mengineyo….

* Inasaidia kubadilisha au kuweka ROM unayoitaka…kama simu yako hujawahi kuiroot ina maana unatumia stock ROM iliokuja na simu..ukishairoot unaweza kubadilisha stock ROM na kuweka na kutoa Custom ROM yoyote unayoitaka kama CyanogenMod, AOSP, Resurrection Remix, Paranoid Android, SlimKat, CarbonRom n.k….
 
* Ku-Root ni kujaribu kupata ‘administrative access’ kwenye android…ukifaulu ku-root simu yako unaweza kubadilisha na kurejesha mfumo wa simu (software) kadri unavyotaka… ni kama mfungwa anavyovuka ukuta wa jela….au mtu anayefungua geti lenye vizuizi….na una-root simu ili kupata faida zilizofichwa au kuzuiwa na watengenezaji wa simu…

* Faida kama hizi kwa mfano:

* Inasaidia katika kubadilisha features za kwenye simu, rangi n.k..unaweza kutumia application kama 'exposed framework' kubadilisha vitu vingi kwenye simu yako…pia unaweza kutumia features za kwenye simu zingine kwenye simu yako, mfano 'Beats Audio' ya HTC ukaiweka kwenye Samsung….

* Inasaidia kuongeza spidi ya simu na mda wa battery kukaa na charge..mfano unaweza kutumia application kama 'setCPU' ku-boost uwezo wa simu na kutunza charge..

* Uki-root simu unaweza kuzuia matangazo yote yanayojitokeza pindi unapotumia simu…utatumia application kama AdFree, AdBlock Plus, Ad Away, Lucky Patcher (inasaidia pia ukitaka kupata pro or premium features za baadhi ya applications)

* Inasaidia ku-back up simu kwa ajili ya kuirudisha katika hali yake ya kawaida….mfano, ku-back up application na system data pale unapo-update au ku-upgrade Android System au unapobadilisha ROM, hutahitaji ku-install upya applications kutoka kwenye Google Play Store, pia data za kwenye system zinakuwepo…

* Inasaidia kutoa application zilizokuja na simu ambazo huwezi kuzitoa kwa njia ya kawaida..wanaziita bloatware au crapware..mfano mtu hataki kutumia 'Group play', 'Samsung Chat-on', application yoyote ambayo ipo kwenye simu yako na wewe huihitaji….

* Inasaidia kubadilisha au kuweka Kernel unayoitaka….kernel inafanya application ziweze kuwasiliana na hardware za simu yako…kwahiyo ukiibadilisha unaweza kuongeza uwezo wa simu, battery kukaa mda mrefu na kucharge kwa haraka, na mengineyo….

* Inasaidia kubadilisha au kuweka ROM unayoitaka…kama simu yako hujawahi kuiroot ina maana unatumia stock ROM iliokuja na simu..ukishairoot unaweza kubadilisha stock ROM na kuweka na kutoa Custom ROM yoyote unayoitaka kama CyanogenMod, AOSP, Resurrection Remix, Paranoid Android, SlimKat, CarbonRom n.k….

Exactly
 
Tumia cf root ya chainfire jamaa ndio recognized developer WA kuroot Samsung. Hizo njia za juu nyingi Ni kwa ajili ya simu za made in ......
Nataka ku root Huawei Mate 7 yenye lollipop 5.1.1, kwa application inayofanya single root. Nimejaribu kingroot na kingoroot zote zimeshindwa.
 
* Ku-Root ni kujaribu kupata ?administrative access? kwenye android?ukifaulu ku-root simu yako unaweza kubadilisha na kurejesha mfumo wa simu (software) kadri unavyotaka? ni kama mfungwa anavyovuka ukuta wa jela?.au mtu anayefungua geti lenye vizuizi?.na una-root simu ili kupata faida zilizofichwa au kuzuiwa na watengenezaji wa simu?

* Faida kama hizi kwa mfano:

* Inasaidia katika kubadilisha features za kwenye simu, rangi n.k..unaweza kutumia application kama 'exposed framework' kubadilisha vitu vingi kwenye simu yako?pia unaweza kutumia features za kwenye simu zingine kwenye simu yako, mfano 'Beats Audio' ya HTC ukaiweka kwenye Samsung?.

* Inasaidia kuongeza spidi ya simu na mda wa battery kukaa na charge..mfano unaweza kutumia application kama 'setCPU' ku-boost uwezo wa simu na kutunza charge..

* Uki-root simu unaweza kuzuia matangazo yote yanayojitokeza pindi unapotumia simu?utatumia application kama AdFree, AdBlock Plus, Ad Away, Lucky Patcher (inasaidia pia ukitaka kupata pro or premium features za baadhi ya applications)

* Inasaidia ku-back up simu kwa ajili ya kuirudisha katika hali yake ya kawaida?.mfano, ku-back up application na system data pale unapo-update au ku-upgrade Android System au unapobadilisha ROM, hutahitaji ku-install upya applications kutoka kwenye Google Play Store, pia data za kwenye system zinakuwepo?

* Inasaidia kutoa application zilizokuja na simu ambazo huwezi kuzitoa kwa njia ya kawaida..wanaziita bloatware au crapware..mfano mtu hataki kutumia 'Group play', 'Samsung Chat-on', application yoyote ambayo ipo kwenye simu yako na wewe huihitaji?.

* Inasaidia kubadilisha au kuweka Kernel unayoitaka?.kernel inafanya application ziweze kuwasiliana na hardware za simu yako?kwahiyo ukiibadilisha unaweza kuongeza uwezo wa simu, battery kukaa mda mrefu na kucharge kwa haraka, na mengineyo?.

* Inasaidia kubadilisha au kuweka ROM unayoitaka?kama simu yako hujawahi kuiroot ina maana unatumia stock ROM iliokuja na simu..ukishairoot unaweza kubadilisha stock ROM na kuweka na kutoa Custom ROM yoyote unayoitaka kama CyanogenMod, AOSP, Resurrection Remix, Paranoid Android, SlimKat, CarbonRom n.k?.

Mkuu nataka ku uninstall baadhi ya built up apps kila nikijaribu napewa kwanza onyo so haina madhara ili niifutilie mbali
 
Back
Top Bottom