MSAADA: Nashindwa ku-log in kwenye akaunti ya HESLB

Ukibonyeza kidude cha login inakuwa kama inaingia alafu inakata kunakuwa peupe tu. Nimejaribu both pc and smartphone
Upo wapi? Kuna 4G huko ulipo? Mtandao kusumbua inatokeaga hasa wakati ambapo watu wengi wanaingia kwenye website husika, jaribu usiku wa manane
 
Ukibonyeza kidude cha login inakuwa kama inaingia alafu inakata kunakuwa peupe tu. Nimejaribu both pc and smartphone
Hii inawatokea mlio na user name za email au jina tofauti na form four index no;-

Kwa kukusaidia fanya ya futayo

Ukifika kwenye ukurasa OLAMS,

1. Log in kam register applicant

2. kama user name ilikuwa ni email au jina lingine tofauti na namba yako ya kidato cha nne badili na uandike namba yako ya mtihani wa kidato cha nne na mwaka wakumaliza bila kubadili password yako!!

Mfano: S2020.0004.2017

Asante, fanya hivyo unipe mrejesho!!!
 
Yah mkuu inakubali...
 
User name ni form four index number lakini inagoma. Nini tatizo hapa
Unaiandika kwa usahihi???

Mfano

S2345.0003.2016 yaani ianze school namba (nukta) namba yako ya mtihani(nukta) mwaka wakumaliza

Usiweke mkwaju wala nukta mwishoni
 
Unainadika sa hihi?

Mfano

S2345.0003.2016 yaani ianze school namba (nukta) namba yako ya mtihani(nukta) mwaka wakumaliza

Usiweke mkwaju wala nukta mwishoni
Yeah! Kuna account kama tatu hivi zote number zipo katika mfumo huo S000.0000.0000. Uki login inakuja maandishi kuwa recheck user name/Number. Wakati juzi zilikuwa zinafunguka
 
Hiyo nukta mwishoni kama ndio unaiweka shida inaanzia hapo!
 
Back
Top Bottom