Kwahyo shida ni hyo,unataka uzae wa kike ili usaidiwe hapo baadae?Jamani watoto wa kiume sisi hatusaidii família, bora wenzetu wakike.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mkuu nakuelewa SanaAsie kubali kushindwa si mshindani
Asie shukuru huyo ni shetani,
Nachukua fursa hii kumshukuru muungu kwa kumsaidia mkewangu kujifungua salama masaa tisa yaliyo pita, ila kuna duku duku ninalo ndani ya moyo wangu.
Oyah ndugu zangu, usiku wa jana Mungu ameejaalia mkewangu kajifungua salama mtoto, nashukuru sana kwa hilo.
Tatizo watoto tunaozaa ni wajinsia moja tu.
Huwezi amini tumebahatika kapata watoto watatu nawote ni wakiume tu.
Binafsi nina watoto wanne, huyu mmoja ni wapenati, (Nje ya ndoa) ila naye ni wakiume.
Nashindwa kuelewa tatizo langu ni nini?
Kwa mama yangu tumezaliwa watoto 8 wakike ni mmoja tu.
Na huyo dada yangu nae ana watoto watatu wote ni wa kiume tu.
Kiukweli sio mimi tu, mpaka mama yangu hana ham hata kidogo.
Mpaka muda huu sija mpigia simu mama kumtarifu kua mkwewe kazaa, sababu najua hata shtuka, sababu watoto wakiume hana ham nao.
Kwahiyo nime kuja kwenu wakurungwa (Mlio ni zidi umri na maarifa) ni fanyaje ili na mimi nilipe DENI? (nizae mtoto wa kike?)
Jamani watoto wa kiume sisi hatusaidii família, bora wenzetu wakike.
Nisaidieni jamani mwenzenu nimekwama.
Tulipanga na mkewangu baada ya kuzaa mimba hii (angezaliwa wa kike) tupumzike miaka 10 bila kutiana mimba, lakini naona kibarua cha kumtafuta wa kike kinaendelea.
Msaada jamani, huwezi amini mkewangu kajifungua salama lakini sio yeye wala mimi mwenye ham na mtoto.
Msaada jamani natamani kulia peke yangu, duh hata mmoja!
Huyo ndio molembe [emoji3][emoji3]Mimi nina watoto 10 (mama tofauti) wote wa kiume na siringi.
Wakati unalia lia tembelea page ya counsillor salaah uone 😅😅😅 hili tatizo sio kwako tu sema jamaa kitachomsaidia ana hela ila vinginevyo kina prince dully sykes wangeweza kumtia simanzi mapema sana😅😅😅Asie kubali kushindwa si mshindani