Msaada: Napata ganzi miguuni kila ninapochinja kuku

STERLING2014

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
239
72
Msaada wajameni; imekuwa ikinitokea mara kadhaa hii hali ya kupata ganzi miguuni pindi napochinja kuku.

Nashindwa kuelewa kuwa hii ni hali ya kawaida au ni kwangu tu. Na je, kipi kinafanya hii hali inatokea kwangu?

Je, nifanyeje ili kuepuka tatizo hili la ganzi linaponitokea?

Karibuni kwa ushauri wakuu
 
Usichinje mkuu
 
Mimi kuchinja siwez kabisa

Kuna kipindcom walinilazimisha,nikamchinja nusu alaf nikamuachia yaan ata sijui ilikuaje ila nilifikia kumuonea huruma saan
 
Duuuh aisee dunia hii mi nlidhani inantokea mimi peke yangu kumbe nna pacha wangu.Mi hata sijawahi kumueleza mtu yeyote lakn huwa inantatiza sana
Msaada wajameni; imekuwa ikinitokea mara kadhaa hii hali ya kupata ganzi miguuni pindi napochinja kuku.

Nashindwa kuelewa kuwa hii ni hali ya kawaida au ni kwangu tu. Na je, kipi kinafanya hii hali inatokea kwangu?

Je, nifanyeje ili kuepuka tatizo hili la ganzi linaponitokea?

Karibuni kwa ushauri wakuu
 
Msaada wajameni; imekuwa ikinitokea mara kadhaa hii hali ya kupata ganzi miguuni pindi napochinja kuku.

Nashindwa kuelewa kuwa hii ni hali ya kawaida au ni kwangu tu. Na je, kipi kinafanya hii hali inatokea kwangu?

Je, nifanyeje ili kuepuka tatizo hili la ganzi linaponitokea?

Karibuni kwa ushauri wakuu
Nafikiri inatokeaga tuu mim imenitokea Jana sasa wew hio ya Mara kwa mara sijui BT kwakua ile ni roho may be kuna kitu ambacho hatukijui
 
Mm hua sipati ganzi ila hua nasikia kisu kinapita shingoni mwangu hivyo najikabaa shingo hadi naumia.. hata tukiwa tunapiga story za ajali ukisema mtu alivynjika mguu bas hua nasisimka hadi nayasikia maumivu!
Hivi siwez tena hata kuangalia kuku akichinjwa..Wala siwez kuua kiumbe hai chochote kutoa mbu tu
 
Back
Top Bottom