ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,000
- 61,238
- Thread starter
- #81
Nipo darusikute demu wako ndiye anayenisingizia na mm mkuu... upo mkoa gani?
Nipo darusikute demu wako ndiye anayenisingizia na mm mkuu... upo mkoa gani?
aha sawaNipo dar
Asante Sana ubarikiwe na Mungu wako una hekima Sana brother nimesikia kwa making sitajiangusha kwa hiliUsijali mkuu,
Jaribu kwanza kumpeleka hospitali akapime kuthibitisha ujauzito upo kweli au ni mabadiliko tu ya siku zake za hedhi.
Kuna wakati mzunguko wa msichana unabadilika hasa kama hajazoea hayo mambo sio mzoefu. Mpk baadae sana mzunguko unakaa vizuri.
Kwa hiyo jithibitishie kwanza kutoka kwa daktari.
HATUA INAYOFUATA.
Kutia mimba kwa mtoto wa kiume ni jambo la kawaida, na inaashiria Mungu amekupatia kizazi ambacho wapo watu wengi hawana mpk wanakwenda mahospitalini na kwa waganga "hivyo basi shukuru Mungu"
Kupata mtoto sio tatizo "kupata mtoto ni bahati" "kupata mtoto ni rizki" kwa hiyo kubaliana na matokeo ili maisha yaendelee.
Najua kinachokuumiza ni kwamba kama kula yako ni ya shida, je huyo mtoto wa watu atakula nini?. Pia unawaza kwamba kama maisha bado hayajakukubali na malengo yako hujafikia.
Ngoja nikueleze kitu, huyo kiumbe anaekuja anaweza kuja na baraka na maisha yako yakabadilika hasa ukaanza rasmi kujituma na kuchangamsha akili ili angalau utimize majukumu kama baba.
Kupata tatizo sio tatizo, bali unavyolichukulia tatizo ndio tatizo lenyewe. Kutia mimba ni changamoto tu kama changamoto nyingine hivyo ukiwa mtoto wa kiume unatakiwa kupambana.
Hongera sana baba kijacho
Amin, nafurahi kusikia hivyo.Asante Sana ubarikiwe na Mungu wako una hekima Sana brother nimesikia kwa making sitajiangusha kwa hili
Hongera mama kijacho[emoji85][emoji85]
Ndio huyu, hata mimi namshangaa. Oh "mary, mke wangu nakupenda"Halafu sio wewe kuna uzi unajinasibu unampenda sana mkeo Mary???
Ndo huyohuyo japo sijamuoa kwa ndoa lakini si unajua Tena siku hizi tunaitana mke na mume mapema tuHalafu sio wewe kuna uzi unajinasibu unampenda sana mkeo Mary???
Hahaahhaha hahahha sasa why unakataa jamani hebu tulia azaeNdo huyohuyo japo sijamuoa kwa ndoa lakini si unajua Tena siku hizi tunaitana mke na mume mapema tu
Mdogo una miaka mitano?Kaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
21Mdogo una miaka mitano?
Nenda singidan kavue samak wale wa tope uwe unampaNimepatikana Nipo kipindi kigumu
Kuna mimba mwanamke mpenzi wangu ananiambia nimempa na sikutarajia kabisa kwani maisha yangu bado sijajipanga nawaza sana.mwanamke ananiambia ye hajui lakufanya ananisikia mimi.nawaza nimwambie aitoe ila naogopa Sana Ni dhambi hio ya kuua hata yeye anaogopa .kifup nimechanganyikiwa Sana.aliponiambua TU haoni siku zake na anapata maumivu ya tumbo akiinama roho yangu ilipasuka paah.nikabaki nakumbuka ile stori ya Adam na Hawa .jinsi Adam alivyokua anamlalamikia Hawa kwa Mungu kwamba mwanamke aliye mpa ndo amesababisha yote.nitafanya Nini nikisema nimlalamikie kwa Nini hakujua Kama siku tunafanya kale kamchezo Ni siku za hatari na yeye atanilalamikia kwa Nini nilimlazimisha .kifupi nimekoma kwa Sasa naona ndo akili za kiutu uzima zinakuja na hisia kama nimekuwa mkubwa ghafla.najiuliza au niikatae hio mimba Kama wengine wanavyokimbia ila napata matumaini na maneno ya MAGUFULI kwamba tufyatuane hakuna tatizo.vijana wenzangu wa kiume ambao tayari mna watoto ilikuaje asee mkakubaliana na hali.kwangu mimi bado nashangaa shangaa.sielewi kwanza kumbe watu wawili wanaweza kutoa copy ya mtu mmoja.nakiwaza hiki kipindi Cha ujauzito mpaka atakapojifungua.nitampa Nini nami bado Ni tegemezi Hali ya maisha sio nzuri.niikate hii mimba?itakuaje nyumbani kwao wakimwambia aje kwangu(kwetu)?nitaweza kweli kulea ?maswali Ni mengi sana yajayo yanafikirisha.
Toa ujinga wako hapa mtoto mdogo unafanya uzinz??? Ulitakiwa uwe shule usitusumbue ww mtoto nyie ndiyo wakupigwa viboko blalifuuKaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
We si ulisema upo singida??Nipo dar
Kumbe na ww umeuona,Halafu sio wewe kuna uzi unajinasibu unampenda sana mkeo Mary???
watoto wadogo ndio hawana uwezo wa kuwapa mimba mabinti, maadam umeweza mpa mtu mimba you are an adult,kila mtoto huja na shani zake lea tuKaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana