Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,389
- 59,150
Hahaha
Mbinu pekee za kukataa mimba ni kujitoa kizazi uonekane hauna uwezo wa kuzalisha.
Mbinu pekee za kukataa mimba ni kujitoa kizazi uonekane hauna uwezo wa kuzalisha.
Kwakwelimmnhhh bahati mbaya JF hatushauri upuuzi
Nilikua najua lakini nilishindwa kabisa kukojolea nje .nikajikuta nimemaliza humohumo ndani.kumbe shimo lile Lina mambo makuu namna hiiVuna ulichopanda ulivyokua unamwaga hukujua nini kitakachofuata??!!
Jitegemee na wew Boya wewe [emoji41][emoji41][emoji41]View attachment 871530
Haya ndio ukubali na ubatizo wa jina jipya(baba Fulani)Nilikua najua lakini nilishindwa kabisa kukojolea nje .nikajikuta nimemaliza humohumo ndani.kumbe shimo lile Lina mambo makuu namna hii
Asante Sana kiongozi itabidi nikubaliane tu na hali.umenitia moyo Sana maana nilianza mawazo ya kukata tamaaMkuu kubali tuu, ndio utapata akili ya kutafuta maisha. Mimi ilinitokea nikakubali japo nilitaka aitoe ila nikaamuwa kulikabili Sasa nalea mtoto wangu. Mama ake nimempa mtaji ana lisongesha life. Kuwa Mwanaume nikupambana na Changamoto Mkuu.
Me nilijua yeye atakuwa siku ambazo hakuna hatari..maana naskia kwa mwezi Kuna siku Saba salama.kwa hiyo nikajua Hakuna noma Sasa hivi ndo msala
Sio poa mkuu haya Mambo yasikie tu kwa mwenzioNaona una vibe kama lote hivi mkuu
Usiwe mtu wa hovyo hovyo. Jaribu kushirikisha ubongo wako unapotaka ku coment kitu.Mbona kama umepanic au Sister pale home ndo kapachikwa na Dege John.
Nimekusoma kaka.baada ya kumbana bana kidogo akaniambiaWanawake wana mambo mengi, pengine ameona una mpotezea kaamua atengeneze attention...
Labda anataka ajue ikitokea amepata mimba (kama muitavyo bahati mbaya) utafanya nini?..anakupima
Labda kaamua kukubambikia! maana kubambiakiana watoto imekua jambo la kawaida....
Sababu ni nyingi...
Chakufanya: Aende akapime, ili ijulikane..maana kuna mimba hewa na zina dalili kama mimba za kweli...
Kama atakua na mimba kweli, washirikishe wazazi..Wazazi wa siku hizi ni waelewa..
Lea mimba na mtoto akizaliwa kama ni wako mleeni mwanenu maana mlimtafta na itapendeza mkioana maana hamjaokotana wala hamjabakana.
Watoto wa dizaini hii huwa wanafanikiwa maishani na huwaga 'mwanaume mashine'
Bado mdogo ukafanyaje mambo ya wakubwa.Kaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana