king otaligamba
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 2,178
- 2,039
Kwani mdogo anaweza kubebesha mimba mwanamke? Pambana na jukumu lako dogo.Kaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
Kwani mdogo anaweza kubebesha mimba mwanamke? Pambana na jukumu lako dogo.Kaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
[emoji2] [emoji2] [emoji2] AiseeUlijua unatema mate huko chini?,,,
Kama unajiona mdogo kwanin unafanya huo mchezoKaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
Una Mtoto?Duuu
Nishauri km ndugu yako kwa maneno Yenye kunifaidiBwege ww.
Ushauri mzuri sana mkuu bila shaka ataufanyia kaziKwanza kubali limeshatokea
Pili jitahidi akapime kweli kama ni mjamzito kama ni kweli shirikisha familia umlee mtot wko fany vyovyt usichague kazi pambna utatoboa na itakua baraka usije ukafikiria kwenda kutoa
Aisee ww si wakwanza watu wanapitia matatizo makubwa na hawayakimbii
Mara nyingine tunajifunza kutokana na makosa
Na kila kitu kinatokea kwasababu
Yani huu uandishi tu unaonesha unastress.., pole sana ila sina hakika kama kuna linaloshindikana. Kubali tu then utaona maisha yataenda safi tuNimepatikana Nipo kipindi kigumu
Kuna mimba mwanamke mpenzi wangu ananiambia nimempa na sikutarajia kabisa kwani maisha yangu bado sijajipanga nawaza sana.mwanamke ananiambia ye hajui lakufanya ananisikia mimi.nawaza nimwambie aitoe ila naogopa Sana Ni dhambi hio ya kuua hata yeye anaogopa .kifup nimechanganyikiwa Sana.aliponiambua TU haoni siku zake na anapata maumivu ya tumbo akiinama roho yangu ilipasuka paah.nikabaki nakumbuka ile stori ya Adam na Hawa .jinsi Adam alivyokua anamlalamikia Hawa kwa Mungu kwamba mwanamke aliye mpa ndo amesababisha yote.nitafanya Nini nikisema nimlalamikie kwa Nini hakujua Kama siku tunafanya kale kamchezo Ni siku za hatari na yeye atanilalamikia kwa Nini nilimlazimisha .kifupi nimekoma kwa Sasa naona ndo akili za kiutu uzima zinakuja na hisia kama nimekuwa mkubwa ghafla.najiuliza au niikatae hio mimba Kama wengine wanavyokimbia ila napata matumaini na maneno ya MAGUFULI kwamba tufyatuane hakuna tatizo.vijana wenzangu wa kiume ambao tayari mna watoto ilikuaje asee mkakubaliana na hali.kwangu mimi bado nashangaa shangaa.sielewi kwanza kumbe watu wawili wanaweza kutoa copy ya mtu mmoja.nakiwaza hiki kipindi Cha ujauzito mpaka atakapojifungua.nitampa Nini nami bado Ni tegemezi Hali ya maisha sio nzuri.niikate hii mimba?itakuaje nyumbani kwao wakimwambia aje kwangu(kwetu)?nitaweza kweli kulea ?maswali Ni mengi sana yajayo yanafikirisha.
Sasa kwa nini ukaingilia mambo ya wakubwa? Hata jela za watoto zipo pia usisahauKaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
Sitak sikushauri ujinga.ww ungekataliwa ungukua hapo ulipoNishauri km ndugu yako kwa maneno Yenye kunifaidi
Brother[emoji23][emoji23][emoji23]Mbinu pekee za kukataa mimba ni kujitoa kizazi uonekane hauna uwezo wa kuzalisha.
Kaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
Ushauri mzuri tu ila una ucheshi ndani yakeWahi tu kumleta home. Unachopewa na mama mwambie kuna mwingine tena anaye wawili hivyo mama akuongezee chakula cha sahani yako. Pili, omba pia chumba peke yako wadogo zako wahamie sebuleni. Sasa umepata pa kujimwaga utakavyo hadi siku ile anaenda leba. Kutoa ni kuua na mamako angelitoa wewe usingelikuwa hapa ukijaza seva.
Mkuu Jifunze kuskiliza, kupokea na kuheshimu mawazo ya wenzio ,ata kama ni wa hovyo hovyo kama uonavo wewe......Usiwe mtu wa hovyo hovyo. Jaribu kushirikisha ubongo wako unapotaka ku coment kitu.
BTW asante kwa kuni kariri ujmbe wangu.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] huu ushauri nomaMbinu pekee za kukataa mimba ni kujitoa kizazi uonekane hauna uwezo wa kuzalisha.
Usijali mkuu,Kaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
Hongera mama kijacho[emoji85][emoji85]Ndio ukome, condom huijui!!
Kabebe hata kokoto ujiandae kulea mkuu.