Mdogo hawezi kubebesha mimba Kama uliweza kumpa mimba sasa amka pambana na vibarua upate hela ya matunzoKaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
Asante SanaUskatae mimba Mzee, we kubali ila waambie kwa sasa ata wewe mwenyewe uwezi kujihudumia ukifika muda utachukua familia yako.......!
Nan amlelee hiyo familia yake hadi pale. Yy achukue bana akapambane na sayar ya3Uskatae mimba Mzee, we kubali ila waambie kwa sasa ata wewe mwenyewe uwezi kujihudumia ukifika muda utachukua familia yako.......!
Ziro.....Uskatae mimba Mzee, we kubali ila waambie kwa sasa ata wewe mwenyewe uwezi kujihudumia ukifika muda utachukua familia yako.......!
Mtegemee Mungu halafu muoe. Maisha yatakua mzuri ghaflaKaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
Watu awakatai mimba ila ndo kulea ndo shughuli.Nan amlelee hiyo familia yake hadi pale. Yy achukue bana akapambane na sayar ya3
Naona una vibe kama lote hivi mkuuNimepatikana Nipo kipindi kigumu
Kuna mimba mwanamke mpenzi wangu ananiambia nimempa na sikutarajia kabisa kwani maisha yangu bado sijajipanga nawaza sana.mwanamke ananiambia ye hajui lakufanya ananisikia mimi.nawaza nimwambie aitoe ila naogopa Sana Ni dhambi hio ya kuua hata yeye anaogopa .kifup nimechanganyikiwa Sana.aliponiambua TU haoni siku zake na anapata maumivu ya tumbo akiinama roho yangu ilipasuka paah.nikabaki nakumbuka ile stori ya Adam na Hawa .jinsi Adam alivyokua anamlalamikia Hawa kwa Mungu kwamba mwanamke aliye mpa ndo amesababisha yote.nitafanya Nini nikisema nimlalamikie kwa Nini hakujua Kama siku tunafanya kale kamchezo Ni siku za hatari na yeye atanilalamikia kwa Nini nilimlazimisha .kifupi nimekoma kwa Sasa naona ndo akili za kiutu uzima zinakuja na hisia kama nimekuwa mkubwa ghafla.najiuliza au niikatae hio mimba Kama wengine wanavyokimbia ila napata matumaini na maneno ya MAGUFULI kwamba tufyatuane hakuna tatizo.vijana wenzangu wa kiume ambao tayari mna watoto ilikuaje asee mkakubaliana na hali.kwangu mimi bado nashangaa shangaa.sielewi kwanza kumbe watu wawili wanaweza kutoa copy ya mtu mmoja.nakiwaza hiki kipindi Cha ujauzito mpaka atakapojifungua.nitampa Nini nami bado Ni tegemezi Hali ya maisha sio nzuri.niikate hii mimba?itakuaje nyumbani kwao wakimwambia aje kwangu(kwetu)?nitaweza kweli kulea ?maswali Ni mengi sana yajayo yanafikirisha.
Mdogo wakati unakula papuchi tena bila kondomu?? Lea mimba hiyo upate mtoto mwenzakoKaka Mimi bado mdogo Sana sikuwa tayari kubeba hili JUKUMU la kuwa baba.nilipanga nipate Mtoto baadae Sana
Mbona kama umepanic au Sister pale home ndo kapachikwa na Dege John.Ziro.....