Msaada: Naomba njia ya kufukuza kunguru bila kuwafanya walete vurugu na usumbufu

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,558
45,876
Naombeni ushauri jinsi ya kufukuza kunguru.

Tuna miti ya matunda, kwahiyo hawa viumbe wanazaliana sana. kila siku kuna kiota kipya. Kuna kipindi tuliwaua live walikuja kunguru zaidi ya 1000 wakakaa zaidi ya week na kutupigia makelele week nzima na kuturukia vichwani.

Naombeni njia isiyo na beef ya kimya kimya ya kuwaondoa hawa viumbe.
 
Kanunue Maji ya Mwamposa Tanganyika Packers Kawe na Chumvi ya Mwacha Kimara Temboni changanya kisha warushie Mtini au Waliko na hutowaona tena mpaka Yesu Kristo atakapokuja Kutukomboa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom