Inamisha sikio lenye maji Kisha ruka ruka na mguu lipo sikio yatatoka.Nimefanya vyote hayatok
Hii mbinu nami hunisaidia mara kwa mara.Inamisha kichwa, upande wa sikio lenye maji uangalie chini halafu uanze kuruka ruka😊
Fanya kwanza nilivyokyelekeza,wakati wa kuruka hakikisha huruki sana ila unajishindilia sakafuni au ardhini.Natak nikamwone doctor
Duh pole aisee. Basi fuata ushauri wa kitaalamu zaidi wanaotoa wengineKaka nimeweka badoo