Msaada : Naomba kumfahamu mtu mwenye hotel humu

mtwana

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
428
140
Habari zenu wanaJ
Nlikua nina shida ya mtu ambae ana Hotel ambayo anajenga au ambayo inafanya kazi hadi sasa nilitaka niwe Supplier wake wa Items
 
mkuu mi nadhani ungesema una bidhaa gani ili upate wateja kusema unataka kujua mwenye hotel sidhani kama ni njia nzuri ya kutangaza biashara...nina hiki napatikana sehemu fulani na vingine zaidi na zaidi..
 
Back
Top Bottom