Msaada: Naomba kujuzwa jinsi ya kupata uraia kwa msichana anayetoka nje ya nchi ili kuolewa na kuishi Tanzania

Ilikuaje aisee hapo kwenye video call ndo sijaelewa kwamba unamuona kabisa mdada wa kidachi au
 
Mtaalamu umemaliza vyote
 
Muoe tu lakini usithubutu kufanya kosa la yeye kuukana uraia wake eti achukue Utanzania. Nadhani anaweza kupata visa ya miaka mpaka mitano na kuiongeza muda kila inapokaribia kuexpire lakini Utanzania acheze nao mbali.
😆😆😆😆😆
 
Kwa nini wewe usiende ishi Australia?
Msimfanye jamaa zwazwa, ni sawa na kuoa halafu ukaenda kuishi ukweni.....ambao hawajakanyaga majuu wanakuwaga sana na wenge la kuzamia kutokana na mapicha picha wanayoona kwenye TV. Mwanaume ukiishi kwenye nchi yako unakuwa huru sana na unajiamini...
 

Hongera zote hizo unaweza kuta anayetaka kumchukulia uraia bibi mstaafu Australia.
😀😀
 

Anaingia cha kike waaaaaaaaaaaaaaaaaaaah
 
Huyu atakuwa akichat na vijana wa Nigeria. Okay, kuwa makini hasa ukiletewa ishu za kutuma pesa kwa Western Union au Money Gram, hapo ujue ni "Red Flag", kaa mbali.

Kuna wengine wana similar cases za madem wa Kifilipino.
 
Jamaa badala ya kwenda Aussie kaamua kumleta Mzungu apate shida za Bongo
 
Kama kuna uwezekano wa kubadilishana uraia nimpe wangu, anipe wake sina criminal record huu wa kibongo sina matumizi nao
 

Mwanamke mgeni aliyeolewa na mtanzania anaruhusiwa ku-baki na uraia wake. Ila mwanaume mgeni aliyeoa mtanzania ndiye aruhusiwi kubaki na uraia wa nchi yake.
 
Asee wewe jamaa haupo siriyaz na maisha ..unapenda kuishi Tanzania? Umeopoa mlami badala usepe unang'ang'ania kubaki huku..uyo mlami lazima akukimbie tu

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…