harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,970
- 6,898
Habari za mida wakuu
Mm ni muuzaji wa hizi mashine za kichina za kukaushia nywele (HAIRDRYER ZA MKONONI) kipindi cha nyuma sikuwahi kupata usumbufu lakini miaka ya karibuni zimekuwa na tatizo kwenye huu umeme wa TANESCO.
Tatizo ni kwamba baadhi ya wateja niliowauzia wanadai zinakata umeme na umeme unakatia kwenye connector za juu kwenye nguzo kabisa na hapa bila TANESCO wenyewe kuja ndio umeme hupati tena.
Swali je tatizo lipo kwenye hiki kifaa au kwenye system ya TANESCO?
Na kama ni kwenye hiki kifaa mbona kipindi cha nyuma sikuwahi kusikia hili tatizo?
Wakuu kwa mwenye uelewa na haya mambo ya umeme anisaidie ili nisiwapoteze wateja wangu!
Kifaa chenyewe ndio hichi
Sent using Jamii Forums mobile app