MSAADA : Naomba kufanikishiwa uhamisho wa mke wangu (Mwalimu wa Primary) kuja Dar.

Uzalendo Installer

JF-Expert Member
Nov 8, 2014
5,379
8,848
Wakuu habari yenu,
Nimejaribu njia zote za kupata uhamisho wa mke wangu aje Dar es Salaam lakini sijafanikiwa kabisa, Niliambiwa anatakiwa amalize miaka miwili kazini..kamaliza zamani sana kaajiliwa 2015..barua nikaandika sana lakini sijafanikifa...wengine naona wanahama bila hata kutoa jasho sana.
Karibu PM kwa ANAEWEZA kunisaidia.
NB: Tukikubaliana kiasi cha pesa, malipo ni baada ya kukamilisha uhamisho nami nitakulipa cash hela yako yote.
Asanteni kwa kuelewa
 
kwanini unataka kutoa rushwa?angalia usiingie kwenye tatizo kubwa ukafungwa na kumuacha mkeo uraiani
 
kwanini unataka kutoa rushwa?angalia usiingie kwenye tatizo kubwa ukafungwa na kumuacha mkeo uraiani
Anaweza kuwa anataka pesa ya nauli na usumbufu utakaojitokeza huko dodoma....BTW njia halali nimejitahidi lakini wapi? waliohama wanadai wametoa ushirikiano...mkuu bila ushirikiano kwa Tz yetu utasumbuka sana
 
Back
Top Bottom